Search results

  1. D

    Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho?

    mbona sijaona yako mchele, au unasubiri kucomment pumba?
  2. D

    Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho?

    yani hata mkimwekea kiti, yeye analetewa chake...../......... ....... Nimeshuhudia mara 2 kwa macho yangu kiti kikibadilishwa jukwaani@
  3. D

    Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

    nakupongeza japo sijajua una dv 4 ya ngapi?
  4. D

    matokeo ya form 4 ya senetor na wakusoma

    w ameshapotea hao!
  5. D

    Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

    machafuko gani unayoyatajja wewe tena wakati wa2 wamesharudishwa makwao
  6. D

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    Jamani namaliza kwa KUTOA TAARIFA HII KWA UCHUNGU SANA TOKA SIKU YA KWANZA NILIVYOLIPOTI KWENU....LEO NDANDA SECONDARY SCHOOL Imesitisha masomo na taratibu zote za kiualimu na kiuanafunzi mpaka pale tamko kikatapotolewa. CHAKUSIKITISHA walio husika na wasiohusika wanaathirika kwa matakwa ya watu...
  7. D

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    elewa kwanza! Shule ilikuwa ya kanisa kabla ya kuwa ya serikali. Na kanisa lipo nje ya eneo linalomilikiwa na shule kwa sasa.
  8. D

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    MPAKA SASA,waislam wote wapo barabarani juelekea MASASI kwa afisa elimu kudai wanachodai kuwa haki yao. Haya ni maandamano yasiyokuwa ya rasmi na kibali
  9. D

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    wakristo wote(ukwata,casfeta,asa) wanasalia madarasani, TYCs tu ndio wanajengo lao walilopewa na waliojenga shule. Wakati wao wametengewa eneo maalum bado hawataki? Sijui wanataka ghorofa
  10. D

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    Ni jumatatu nyingine tena kikundi kimoja cha kidini (waislam),wamesababisha kutoweka kwa amani baada ya kuanzisha mgomo kwa lengo la (a)kudai kunyimwa kupatiwa eneo la kujenga msikiti shuleni (b)kukataa uongozi wa wanafunzi kwa kudai kutokuwa na usawa katika uongozi huo(idadi sawa ya waislam...
  11. D

    database ni nini?

    wajuzi naomba mnijuze,database inahusika na nini?
  12. D

    Try your JF name in JAPANESE.. Its funny.....

    Tetomekirim! Majina mengine mpaka utoe cheche kwanza ndo uweze kutamka
  13. D

    hhaha!! Lady Gaga kuanzisha kanisa..sio kichekesho jamani...

    nampa miaka mitatu-g.g.g! Kapoteaa
  14. D

    I share coz i need u to know!

    Hapo umeniona! Ndivyo inavyotakiwa mkuu ku2pia maujanja kama hayo
  15. D

    Airtel Free Internet (200mb) kila usiku

    Wacha tufanye kazi sisi! We kama ucku unalala we lala 2
Back
Top Bottom