Search results

  1. Miss Parliament

    Ni kitu gani kizuri zaidi ambacho ulishawahi kufanyiwa na boyfriend/girlfriend,mpenzi wako?

    Haya tunaanza,ni kitu gani zaidi ambacho umeshawahi kufanyiwa/kumfanyia mtu wako uliye naye? na je kama hakuna,unahisi huo uhusiano wako si wa dhat?i mean kwamba unahisi huyo mpenzi wako uliye naye sio special?
  2. Miss Parliament

    Mwenyekiti wa Bunge chanzo cha kuvuruga amani ndani ya Bunge

    Kama tunataka kuwa na bunge lenye staha,basi kiti cha spika kitumike ipasavyo. Mlioko nje kupitia runinga zenu bila shaka mmeshuhudia vituko vya humu ndani kanuni ya 68(7) iko wazi....
  3. Miss Parliament

    Nimekua msomaji hapa kwa muda ila nimetia timu kabisa

    Wakuu wa JF, Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani
Back
Top Bottom