Nimekua msomaji hapa kwa muda ila nimetia timu kabisa

Miss Parliament

Senior Member
Jun 27, 2011
107
48
Wakuu wa JF,

Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani
 
Hapa hatuulizi chama kama umesoma vizuri ni Mahusiano,Mapenzi na urafiki kwenda mbele karibu sana muheshimiwa.
 
Wakuu wa JF,

Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani

Umeolewa?
kama bado na mimi niko single we can make a good couple,...
i promise you,hauta regret kua na mimi,...please miss,....
mmmh,ila sina hela kabisaaa
 
Wakuu wa JF,

Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani

Karibu mamii. It's my hope that this forum will influence you positively...
Msalimie babu yangu Ndesamburo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom