Miss Parliament
Senior Member
- Jun 27, 2011
- 107
- 48
Kama tunataka kuwa na bunge lenye staha,basi kiti cha spika kitumike ipasavyo. Mlioko nje kupitia runinga zenu bila shaka mmeshuhudia vituko vya humu ndani kanuni ya 68(7) iko wazi....
Kama tunataka kuwa na bunge lenye staha,
basi kiti cha spika kitumike ipasavyo. Mlioko nje kupitia runinga zenu bila shaka
mmeshuhudia vituko vya humu ndani kanuni ya 68(7) iko wazi....
Sio kanuni pekee bali vituko vyenyewe ni vipi!Tufafanulie hiyo kanuni inasemaje ili tuwe na mjadala mpana zaidi, usifikiri sisiwote ni wabunge au tunazijua hizo kanuni