Search results

  1. McMahoon

    Rais Samia, tunahitaji uruhusu nasi tupokee pesa kutoka Paypal kama wanavyofanya wakenya

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Pole na majukumu ya kuongoza nchi na pia hongera kwa kazi nzuri unayofanya kuifanya nchi yetu inakua kiuchumi na kuwa na amani. Kwa sasa dunia ni kijiji, unaweza kufanya kazi na mtu yoyote aliyeoko nje ya nchi. Tuna tatizo la ajira kwahiyo vijana wengi...
  2. McMahoon

    TECNO W3 Stock firmware W3-H806A1-M-160721V30

    Habari wakuu! Mwenye stock firmware ya Tecno W3 build number W3-H806A1-M-160721V30 inayofanya kazi naomba. Nimejaribu kupakua mtandaoni hazifanyi kazi Shukrani
  3. McMahoon

    Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
  4. McMahoon

    Msaada: Aina za sub meter (Unit counter)

    Naomba kujua aina za sub meter na bei zake. Nilimuuliza jamaa mmoja hivi, akadai kuna submeter aina moja tu inayohesabu tu na haina button Ktk kugoogle naambiwa zipo za button Je, hizo za button zinapatikana, na wapi naweza kupata? Na bei yake ikoje?
  5. McMahoon

    Mke anahitajika

    Sifa -Umri 25-32 -Elimu kidato cha 4 na kuendelea -Ambaye hajawahi kuolewa (Km ana mtoto basi awe 1 tu) -Dini yyte Sifa zangu. -Umri 30s -Elimu chuo (Degree) -Nimejiajiri -Makazi Dar -Mkristo -Sina mtoto, sijawahi kuoa Kama upo tayari ni pm
  6. McMahoon

    Aliyetayari tufanye kazi

    Habari! Km ww ni fundi computer, simu au vyote kwa pamoja tuwasiliane au unataka ujifunze masuala ya computer, simu au vyote kwa pamoja tuwasiliane tuunganishe nguvu tukodi fremu kwa ajili ya kufanyia kazi. (Kwa watu wanaotaka kujifunza, hakuna gharama zitakazotozwa baada ya kupata ofisi) Niko...
Back
Top Bottom