Search results

  1. T

    Nahitaji kutengeneza 1 million Ijumaa na Jumamosi

    Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari inayonikabili, ambayo inahitaji fedha za haraka. Hivyo wakuu naomba mwenye kazi yeyote ambayo naweza kufanya...
  2. T

    Sukari imeadimika nchini, imekwenda wapi?

    Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?. Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji. Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
  3. T

    Uzi maalumu wa kuelezea mafanikio uliyoyapata 2023 na mipango ya 2024

    Karibuni tuelezee mafanikio tuliyoyapata 2023 na mipango ya 2024.Binafsi 2023 nimetoka kapa ila namshukuru Mungu. 2024 mipango yangu ni kuanzisha biashara, kununua kiwanja/viwanja, pamoja na kununua gari hata kama ni old school. Ee Mwenyezi Mungu unisaidie
  4. T

    TOZO

    CCM mmesha kosa kura yangu kwa kutulimbikia matozo kwenye Kila kitu, huku sisi Wana Nchi wakawaida umaskini unatutafuna. Aliye buni hii kitu ya tozo.Mungu atamlipa.
  5. T

    Yuko wapi Tally Hunter

    Wakuu yuko wapi Tally Hunter? msaada tafadhali
  6. T

    Kudate na Mwanamke wa Kizungu raha

    Mwenzenu nimeanzisha magusioano na demu wa kizungu, kusema ukweli nainjoi sanaaaa, tena saaaana tu. Mfano Jana nimemgegeda, kinoma, yaaani anashukuru balaa, anasema hajawahi pitia mgegedo kama huu alioambulia kutoka kwangu. Asubuhi kaniandalia breakfast kali pamoja na juice na kisha akani drop...
  7. T

    Msaada: Nahitaji Mganga atakayeweza kunisaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa

    Wakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika) Natanguliza Shukrani
  8. T

    Usiombee kukosa hela

    Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako? Au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? Kweli wanaume tumeumbwa matesooooo, matessooo kuhangaika. Nina salio la buku (1000) kwenye...
  9. T

    Mapenzi hayana komando

    Kweli mapenzi hayana komando nimeamini. Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini. Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
  10. T

    Wako wapi hawa?

    Wako wapi hawa watu hawaonekani kwenye mitandao kama zamani 1. Dudu Baya 2. Mchungaji Mashimo 3. Deo Nalimi Kisandu 4. Harmo Rapa
  11. T

    Msaada wa jinsi ya kukaanga karanga

    Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga? Msaada tafadhali
  12. T

    Big up kwa Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck

    Nampongeza Kocha wa Simba kwa kazi nzuri anayofanya hakika anastahili, Mitano tena. Kwa falsafa yake yeye anachojali ni kuvuka stage moja na kuendelea na mashindano , hii itatufikisha mbali huenda mwaka huu tukatinga nusu fainali. Nasema uongo ndugu zangu? Tuleteeni utopolo mapinduzi cup
  13. T

    Kuelekea 2021

    Wanaume wenzangu naomba tupitishe azimio la pamoja kama ifuatavyo:- 1. Kuanzia 2021 hakuna kumtumia Demu nauli, hata kama ni 400/= 2. Hata kama umemtumia hela, let say ya matumizi hakuna kumtumia na ya kutolea. 3.Ukitumiwa sms na manzi yeyote ikisomeka hivi " Nikuombe kitu " zima simu Ongezea...
  14. T

    Christmas bado siku 23

    Yewomi eeeeh, yewomi eeeeh, yewomi eeeeh Christmas cha mshikha. Wachaga tutafute hela aisee muda wa kurudi kwetu umefika, nyama choma na bia lazima viwepo.
  15. T

    Mwaka 2020 unaisha, njooni tujadili fursa za kibiashara 2021

    Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwaka ndio huo umekatika njooni tupeane fursa za kibiashara kwa mwaka 2021. Ili tuweze kujipanga vyema. Kwa mwaka 2021 afe kipa, afe beki lazima nianzishe kabiashara japo kadogo, nafikiria kufanya biashara kwenye masoko, nalenga kuanzisha banda la...
  16. T

    Sports Arena: Kipindi cha hovyo kabisa!

    Pasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinachojiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga Simba tu.
  17. T

    Wale ambao tulikuwa hatuna hela tangu kitambo ila sasa tunasingizia Corona tukutane hapa

    Wakuu binafsi mm sio tajiri ila nina ndoto za kuwa tajiri, hata hivyo namshukuru mungu maisha yanasonga japo napata ka hela kakubadilisha mboga Mwenyezi Mungu apewe sifa na utukufu. Sasa hivi corona amekuwa mtetezi wangu mkuu, yaani hata mtu akiniomba hela na nikiwa sina na singizia corona...
  18. T

    Fursa ya ufugaji wa nyoka

    FURSA YA KILIMO CHA NYOKA Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana. Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya famasia na viwanda vya vipodozi hivyo thamani ya "snake venom " ipo juu...
  19. T

    Nimemtongoza juzi leo anataka nikamgegede nyumbani kwake

    Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
  20. T

    Soka la Bongo linakosa ushindani wenye tija

    Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba. Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba...
Back
Top Bottom