Search results

  1. J

    Natafuta mashine ya selcom

    mwenye nayo anipm fasta
  2. J

    Ninauza line ya Airtel money unapata kwa jina lako

    Pata Line ya Airtel money kwa jina lako baada ya siku moja tu. Bei Tsh 110,000 tu.
  3. J

    Mabango yanahitajika haraka sana

    Linahitajika bango la wakala wa tigo, mpesa na airtel money liwe la kuhamishika kwa urahisi kama lile lenye umbo la pembetatu.
  4. J

    Nahitaji kuchimba kisima cha mita 150

    Mwenye utaalam wowote tuwasiliane
  5. J

    I am looking for 6 month internship on Food microbiology

    Hello current am pursuing MSc. Food technology in netherland, i am looking place in Tanzania to do my internship of not longer than 6 months. I am interested to work on food microbiology aspects. If anybody have something let me know please.
  6. J

    CPU inahitajika

    Nahitaj CPU ys desktop computer kwa bei nafuu. HDD 500GB,RAM 4-6GB, Speed kuanzia 2.2GHZ
  7. J

    Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    Mgombea ubunge wa Sikonge kupitia CHADEMA amerejea CCM leo ktk viwanja vya Jangwani DSM. Kumbuka Nkumba alijiunga na CHADEMA baada ya kushindwa kwenye kura za maoni CCM. Alipewa kuipeperusha bendera ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa mkuu Oktoba 25. Wamachama wa CHADEMA waliandamana kupinga uteuzi...
  8. J

    Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

    Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni. Updates: ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu. Update: 2 Mh. Machemli...
  9. J

    Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

    Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.
  10. J

    Vituko vya Kambona ni zaidi ya ZZK

    VITUKO VYA OSCAR KAMBONA. Hakuwahi kumwogopa Nyerere 1961. Alifunga ndoa na "Miss Tanganyika" mjini London Nyerere akiwa "best man" wake 1964. Akiwa waziri wa mambo ya nje aliwatoa kimasomaso Nyerere na Kawawa alipozungumza na wanajeshi waasi bila kujali uhai wake. 1967. Amzaba kibao...
  11. J

    Final: Dr. Slaa is back!

    Katibu mkuu wa cdm Dr.Wilbrord Slaa amerudi rasmi nyumbani kwao karatu kusalimia familia, ndugu na jamaa.
  12. J

    Msaada: Waandishi wa habari Channel ten tv

    Wasalaam JF Mwenye kujua contacts za waandishi wa habari wa channel ten tv naomba msaada tafadhali. Nitashukuru kama nitapata waandishi wawili ama watatu. Ahsanteni
  13. J

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Salaam JF Haya ni maono yangu juu ya kiongozi mkuu wa chama cha ACT hayausiani na utabiri wala njozi yoyote. Mhe ZZK kama utasoma uzi huu yakupasa ufunge mkanda kubadili haya maono. Maono haya nimeyaweka katika dhana ya mapigo 3. Mapigo hayo ni kama yafuatayo; 1. Kuanzishwa kwa UKAWA Hili ni...
  14. J

    Unafiki wa Jakaya Kikwete kwa Mwigulu na Pinda

    Swaum makbur ndugu na jamaa wa JF. Leo hii napenda kutoa duku duku langu la wazi juu ya unafiki wa JK kwa mh. Nchemba na Pinda. Kwanza naanza kwa kuwapa pole waheshimiwa hawa wawili walioamini ni chaguo sahihi na kipenzi cha JK lkn pia niwatangulizie pia na msemo wa waswahili unaosema bata...
  15. J

    Makongoro akataa tamaa na mbio za Urais CCM?

    Dalili za Makongoro Nyerere kukata tamaa zimeanza kuonekana baada ya leo kuanza kulalamika kwenye vyombo vya habari kuwa CCM itapitisha mgombea asiye na sifa na amedai dalili zote ameziona kuwa mgombea mtoa rushwa ndiye ana ushawishi mkubwa kuliko wengine hivyo amekitupia lawama chama chake...
  16. J

    Joint project ya kilimo

    Kwa mkazi wa Dar na mikoa ya jirani aliye tayari tufanye project za uzalishaji wa mazao ya kilimo. Mimi ni mwajariwa wa manispaa mojawapo hapa DSM kama mtaalam wa kilimo lakini kwa sasa nipo Netherland nafanya shahada ya ya pili ya kilimo upande wa greenhouse hort, natarajia kumaliza mwezi Sept...
  17. J

    Ushauri wangu juu ya wakiristo na usalama wao

    Hali ya usalama kwa wakristo ni tete nawashauri sasa waanzishe military trainings kwa ajili ya kuweza kujilinda wenyewe dhidi ya mashambulizi ya kigaidi. nashauri umoja wa maaskofu kupitia makanisa yao sasa yaanzishe military trainings kwa waumini wao na si kusubiri serikali, wapeleke vijana...
  18. J

    Msaada Please: Nipo nje ya nchi

    Wasalaam JF Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau. Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.
  19. J

    Vikosi vya Chad vyawaua wapiganaji 200 wa Bokoharam

    Jeshi la Chad linasema kuwa limewaua wapiganaji 200 wa kundi la boko Haram huku nao wakipoteza wanajeshi 9 katika vita vikali vya kuuteka mji muhimu kazkazni mashariki mwa Nigeria. Wapiganaji wa Boko Haram waliwauwa watu 30 baada ya kutoroka mapigano hayo na kuelekea nchini Cameroon,mkaazi...
  20. J

    UKAWA kimenukaa

    Simama uhesabiwe. UFAFANUZI: Kuna baadhi ya mmamluki humu wanadai mgombea huyu wa chadema amemwachia mgombea mwenzake wa nccr jambo hilo si kweli na kama wana uthibitisho waweke hapa jina na kiambatanisho chochote cha mgombea wa nccr. Tuache siasa za majitaka
Back
Top Bottom