Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

duh kwahiyo kila mwanachama akihama ni breaking news na lazima iletwe jf!!! basi kazi
 
Ccm ndio mwisho wenu watu wanakiama chama taratibu hawa ni wanaojulikana bado sisi huku mtaani tunaowajua wasiokuwa na vyeo Bali walikuwa wapigakura wa ccm wameama
 
yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.
 
Mh. Nape na Comrade Kinana mtufafanulie, huyo ni kapi ama alikuwa na kadi feki?
 
jamani viongozi wa juu ccm itisheni mkutano wa wanachama wa dharura il;i kukinusuru chama hali ni tete chama cha babu zetu na bibi zetu chaangamia

Wamejawa na kiburi dharau majivuno Mungu kaamua kukaza shingo zao hawawezi tena geuka nyuma.
 
Dan, huyu ndugu yangu wa damu alikuwa ni CCM hasa yaani wa damu na tayari kufia CCM.......

Nimepata habari kuwa tayari kashapewa ticket ya kugombea kwa kupitia UKAWA......

Kweli mwisho wa CCM ni mwaka huu.....
 
Back
Top Bottom