Amezinunua Arise Foundation..ambao ni wa Dutch hao hao..Arise is comprised of Norfund(Norwegian Investment fund),FMO(a Dutch development bank) and Rabobank
Tatizo letu Wa bongo kila mtu anajifanya mjuaji/anapenda aonekane anajua kuliko wote..[emoji3][emoji3][emoji3]..instead of kubishana ilitakiwa forums zianzishwe watu wabadilishane experiences coz after all hela za forex haziishi leo wala kesho (over 5 trillion $ per day)..forex is a legitimate...
My sister alikua kweny basi la nyuma yake wamepita Eneo la ajali muda si mref..taarifa za awali kuna majeruhi including dereva alilaliwa na basi wameshamtoa lakini..pia kuna mtoto mchanga kafariki
Me nachojua the majority shareholder ambae ni MNC (parent company ) Incase of vodacom ndo ana sauti linapokuja suala la nani awe CEO au atoke wapi na sio serikali sio nani..angalia benki zote za nje including Nmb(anaekaimu baada ya yule mama nae sio mtanzania)CEOs wanatoka parent company...hata...
Yes Kaka..kusoma muhim sana..all the secrets are in the books..ila kuna some good indicators zinakupa market sentiment na important alerts kama hidden divergence alerts or volatility bands squeeze..ukichanganya na price action knowledge unakua in a very good postion to enter a trade
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.