Search results

  1. wahida

    mtendewa mema na alietenda wema nan ambaye hasahau ?

    na maanisha kwa mfano una friend wako ulimpenda sana kiasi ya kuwa nafsi ikaanza kumpenda na ukawa una mfanyia mengi ili kumfurahisa ila hamujahi kutana face to face rafiki wa barua .ila kukatokea mambo ikawa una ona hana muelekeo na ww in future na ukajaribu kuamuacha na maisha yake but you...
  2. wahida

    nimeona topic kuhusu wapemba toka february hapa

    eti wapemba wana penda tigo mambo kibaooo, jamani mimi kwetu zanzibar tena uko kisiwani pemba, lakin icho kitu sio kweli, na watu wanasema kitu ambacho hakipo, japo kua wanzanzibar wengi wana asiili ya uarabia but we are not doing such a thing, hiyo issue...
  3. wahida

    eti kuna mtu yoyote katika maisha yake ambaye haja pata matatizo katika mapenzi,, ?

    jamani ukweli ni maisha ni mapenzi, na mapenzi ni maisha,huwezi kua normal human kama hujaingia hapa. lakin kila kitu kina furaha yake na matatizo. if ww umekua always happy uko lucky sana ,, na huwezi kusoma kama huja pata mitihani katika hii dunia,
  4. wahida

    machungu ya kumpenda mtu akaleta dharau

    naomba ushauri jamani.. nahis niko un lucky kwenye mapenzi,, nimempenda mtu ambae hatuja wahi kukutana ktk maisha yangu ,,tumejuana kwa kiasi kikubwa kumtatlulia problem zake huko aliko ,,lakin kumbe yeye yuko tofauti saiv nimesha athirika kisaikogia nn nifanye...
Back
Top Bottom