Search results

  1. WIMICKY

    The software does not match the phone (oppo A57)

    Habari wana jamvi, Nina simu aina ya oppo 57 imetoa changamoto haimalizi kuwaka yaani inafika eneo la logo, nikamuulizia jamaa yangu ambaye kidogo hivi vitu anavifahamu yupo eneo tofauti na ninaloishi akanishauri niweke faili lingine nakapakua mtandaoni. Changamoto ikaja wenye kuliweka kila...
  2. WIMICKY

    Msaada: Moderm inajidisconnect

    Habari wakuu naomba msaada kwa anayeweza elewa tatizo la moderm kujidisconnect yaani nikiweka inafanya kutoa kamlio kanakoashilia inaconnect na kujidisconnect. Hata kusoma kwenye window haionyeshi kama imesoma nimejaribu kubadili window ila bado shida nimechukua mordem nyingine na kuijaribu...
  3. WIMICKY

    paid video viewing

    Habari jamani naomba kufahamu kama kuna mtu aliyewahi lipwa kwa kutizama video mtandaoni maana kuna jamaa kanitumia link anasema aliwahi lipwa naomba uzoefu kwa mwingine aliyewahi lipwa au mwenye kulifahamu kiundani suala hili
  4. WIMICKY

    iphone is disabled connect to itune

    habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo
  5. WIMICKY

    Msaada, modem imeishia njiani wakati wa ku flash

    Habari wakuu tafadhali naomba msaada nina modem 2 nilikuwa nazi flash moja imeishia njiani yaani hakumaliza ku sahisha faili lake ambayo ni huawei e3531 nyingine ilimaliza lakini nikiweka laini inaonyesha imekubari tatizo mtandao unakuwa hamna hata nikitafuta bado inaniambia no service hii ni...
  6. WIMICKY

    Wapenzi wa movie za zamani

    Habari ndugu zangu naombeni msaada kutambua movie hii kwa maelezo mafupi nitakayo yatoa hapa. Hii movie nahisi imetolewa 1997 ni ya gerezani stara wa hii movie hupenda kujifunga kitambaa kichwani na %kubwa wamecheza sana kwenye mahindi mashambani na kuna sehemu kuna dogo aliuliwa kwa kufukiwa...
  7. WIMICKY

    Nauza Hisa za Vodacom, Kila moja nauza 500/=

    Habari wakuu daah nilinuanua hisa bila kutafuta washauri sasa nahangaika maana hata kuuza mawakala wote wanasema Hakuna mteja nimejaribu hata kuomba wanipe kiasi chochote Hakuna majibu. Nimeleta hapa maana nafahamu hapa kuna wadau wengi zipo Hisa 200 tu, nipo radhi kuchukua kiasi chochote kwa...
  8. WIMICKY

    Engutoto Monduli Arusha

    Habari naomba kwa msaada kwa anayeifahamu vyema shule ya Engutoto Monduli Arusha
  9. WIMICKY

    Epuka tapeli anayejifanya anaingiza channel za Azam Tv kwenye king'amuzi cha Startimes

    Huyu jamaa kaliza watu wengi kwa staili yake ya kujifanya anaingiza channel za Azam Tv kwenye king'amuzi cha Startimes
  10. WIMICKY

    Kuhusu tatizo la line za tigo kushindwa kushika mtandao

    Habari.. Kumekuwa na tabia au tatizo la Line za Tigo kushondwa kushika mtandao na hilo tatizo halitatuliki mpaka uende kwenye ofisi za tigo na ufanyiwe swap Mbaya zaidi ndo upo bize na shughuli zako ina boooooaaaaa!!!!!
  11. WIMICKY

    MSAADA DC UNLOCKER FREE CREDIT

    Habari..naombeni mwenye dc unlocker yenye free credit anisaidie
  12. WIMICKY

    Msaada waku Bypass samsung account

    Habari Jamani naombeni msaada wa file la remove samsung account.kila niki google nalipata la google account
  13. WIMICKY

    Naomba mawasiliano ya wauzaji wa majiko ya moto poa

    Habari naomba namba kwa aliye na namba ya wauzaji wa majiko ya moto poa natakuliza shukrani
  14. WIMICKY

    Hivi unaweza kuipata simu iliyoibiwa

    Habari wakuu hivi mfumo wa hapa nchini wa sasa unaweza kuipata simu iliyoibiwa kama unavielelezo vya simu yako mf list imei namba. msaada tafadhari maana nimepiga voda nimeambiwa niende police ndo wao wanaweza kutoa msaada kwa 100% kwa ambae aliwahi poteza na akafanikiwa ningependa kujua...
  15. WIMICKY

    Msaada namna ya kukop

    Habari hivi karibuni nilinunua dvd lengo langu niikop kwenye lap top yangu Nilipojaribu kukop baadala ya kuwa 4 gb ikazidi ukubwa nikaamua kutumia power iso bado ikashindikana kwa kutumia hiyo power iso nikakop kwa mfumo wa bin file ikakubali lakini kuconvert bado kibarua kuna namna yeyote...
  16. WIMICKY

    Mediacom 9400 plus

    Habari nina recever mediacom 9400 plus tatizo sauti kukata kata lakini picha zinakuwa nzuri ila ni sauti tu.je kwa anaetumia hii recoder naomba kujua yeye upande wake
  17. WIMICKY

    Nahitaji motherbord used ya laptop hp probook 4530s i3

    Kwa aliye na motherbord tajwa hapo juu tuwasiliane kwa no 0713821285
  18. WIMICKY

    Spreadtrum factory test phone test factory used)

    Habari,samahani nina tatizo simu yangu aina ya Tecno m-3 imejiloki baada ya kuingiza namba yasiri isiyo sahihi nimejaribu kuizima na kuiwasha nikiwa nimebonyeza volume+ na power inaleta maneno haya (spreadtrum factory test phone test factory used)
  19. WIMICKY

    Naomba msaada kuhusu data recovery

    HABARI NAOMBA MSAADA JUU YA RECOVER YENYE UWEZO WA KULUDISHA DOCUMENT MANA NIMEJARIBU Stellar phoenix, easeus recover, vitu vimerudi lakini hakuna kinachofunguka, Tafadhali msaada kuna document za muhimu natanguliza shukrani
  20. WIMICKY

    Naomba msaada kwa watumiaji wa Tunnel Guru VPN

    Habari,tafadhali naomba msaada wale watumiaji wa tg toka nimebadili v2.8.1 napata msg hii wakati wakutaka kukonect
Back
Top Bottom