Search results

  1. Al shabab

    Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

    Upumbavu mtupu.mgomo wa kisenge kabisa,poor organization,ona mgomo wa madaktari!****!
  2. Al shabab

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Hayo mawazo ya hapo juu yote achana nayo,Instal Mozila firefox 3.63 ndio the best au hata vision nyingine yake,then instal SPEEDBIT VIDEO DOWNLOADER itakwenda ku jiattach na mozila,ingiza YouTube - Broadcast Yourself. ktk mozila URL,Ukisearch video unayoitaka na kuiplay itakuja option pembeni,me...
  3. Al shabab

    Namna ya kufungua computer bila kufahamu user password

    Mimi nina CD ambayo nimekuwa nikiitumia kufanya kazi hizo na haijawahi fail,inachukua dk 3,kazi kwisha.
  4. Al shabab

    Hakuna nafasi za professionals kwa graduates vkutoka Jwtz mpaka watakapo tangaza.

    zubeda umenena!mwambie huyo.kama haelewi si anyamaze tu.
  5. Al shabab

    Msaada wakuu,naked woman kaniharibia. . .micro sd,sijui nifanyeje!

    Ukipata program inaitwa USB DISK SECURITY itasaidia.ukiwa umei instal,ukiweka tu hiyo disc itakuonyesha wadudu waliomo na unacomanda DELETE ALL,as simple as that.iwe registered!
  6. Al shabab

    TAMISEMI watanipa ajira?

    nimepitia huko kote mpaka kwa REO,Nimeambiwa niende Tamisemi.
  7. Al shabab

    TAMISEMI watanipa ajira?

    grammaticaly correct but your text if compared to what i presented,the two are highly incompatible semantic features,there is no relation in meaning between text 1 and text 2,DONT WRITE BECAUSE YOU WANT TO WRITE SOMETHING,WRITE IF YOU HAVE SOMETHING TO WRITE!you are welcome.
  8. Al shabab

    TAMISEMI watanipa ajira?

    Habari ndugu zangu,mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya ualimu SHAHADA,BA.Ed mwaka jana.february mwaka huu nikapangwa katika ajira ila nimechelewa nikaripoti april,nimeambiwa hakuna pesa za kunilipa kwani zilirudi hazina,finaly,naambiwa niende Wizarani,TAMISEMI,nikaombe kazi,swali ni...
  9. Al shabab

    Mwalimu wa English na Literature ana BA.Ed anatafuta kazi.

    Wadau mwenye chanzo chochote cha kazi asaidie.ahsanteni.
  10. Al shabab

    napenda mi jimama

    ukipata usinisahau mwenzio,unanipasia tu.
  11. Al shabab

    napenda mi jimama

    Ahsanteni guyz.nimewapata uzuri.
  12. Al shabab

    napenda mi jimama

    guyz sijawahi kutoka na mmama aliyenizidi umri ila nikiwaona nawatamani sana.mi nina miaka 27.nimeajiriwa.ninaelimu ya kutosha.degree 1.siwapendei pesa.mnanishaurije?
  13. Al shabab

    Taarifa ya habari TBC..Vichekesho vitupu!!!

    hawa jamaa wa TBC hata kiswahili kinawapiga chenga,wananchi wamekwenda kwa mkurugenzi wao kutoa malalamiko,wao wanasema WAMEVAMIA.upotoshaji mtupu!!!!!!!!!
  14. Al shabab

    mkopo wa BAYPORT mnauonaje?

    ahsanteni guyz,nimewapata.
  15. Al shabab

    mkopo wa BAYPORT mnauonaje?

    jamani nauliza hawa jamaa wanaaminika?kama uliwahi kopa kwao naomba taarifa pls!
  16. Al shabab

    Rushwa ya waziwazi

    askari wa jeshi la polisi wa mkoa wa Morogoro wakiwa katika gari Land rover tdi yenye namba PT 1490 muda wa saa saba na nusu,wakiwa kando ya barabara indayo Dodoma katika pori fulani,wamekabidhiwa MACHUNGWA MIFUKO MIWILI na utingo wa basi la SIMBA MTOTO huku abiria wote wanatazama,baada ya...
Back
Top Bottom