Al shabab
Member
- May 21, 2011
- 71
- 6
Habari ndugu zangu,mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya ualimu SHAHADA,BA.Ed mwaka jana.february mwaka huu nikapangwa katika ajira ila nimechelewa nikaripoti april,nimeambiwa hakuna pesa za kunilipa kwani zilirudi hazina,finaly,naambiwa niende Wizarani,TAMISEMI,nikaombe kazi,swali ni je,mnazani itakuje au mnashauri nifanye nini?kama kuna mtu wa tamisemi humu afunguke..