Search results

  1. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari wana jf,ninashida na smart phone.Nina sh laki moja keshi nipo Dodoma jiji mtaa Kikuyu ,mwenye biashara tuongee.No ya sim 0712222751
  2. A

    Bashe awataka wabunge kutopitisha bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Hvi kwan ss tuna wabunge au tuna mifano ya wabunge?
  3. A

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Mmh! sijui kama inawezekana kama atakuwa huyo first born
  4. A

    Watani zangu ni nani aliyewaroga?

    Bashite moja hiyo hakuna ubishi
  5. A

    Pres. Kenyatta steals another 10bn from NYS

    Duuuu!!! namshukuru mamaangu na babaangu walinilea vzr na kwa maadili.Kutukana tusi kama hilo kwa mtu nisie mjua wala hata sijawah kumuona tena kwa vitu vya ajabu eti pesa wanakula wengne.Mungu akusamehe akupe maarifa kidogo angalau ujitambue.
  6. A

    Kesi ya masheikh wa Uamsho vs Kesi ya Mauaji ya Lulu: Haki iko Mbinguni

    Huwa nasikitika na hili suala,kama ni waharifu si wahukumiwe basi ili ijuliane? Bahati mbaya waislam hatujitambui make mashekh wamefungwa wakati wa J. K lakini aliondoka bila kuacha msukumo wowote wa kujua ukweli wa hli jambo.Tatzo ni kwamba viongozi wote Tz wenye mamlaka ambao ni waislam huwa...
  7. A

    Ninauza simu aina ya Tecno W5

    Upo wap mkuu
  8. A

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Mkuu wewe mburura kabusa yaani mwanamke unampa afasi ya kukutawala kiasi hicho? kwanza ww kabila gani alaf unakuja unalia lia hapa kwa wanaume wenzio.Mfanya kazi ulimleta asaidie kazi sio kufanya kazi ndoo maana mnamuita msaidiz wa kazi.Mkuu cha kula chako cha wikendi na cha usiku jukum la...
  9. A

    Dhahiri CCM inakurupuka, yaamua kuagiza sukari nje, na agizo la Majaliwa la walioficha mafuta limefanikiwa?

    Majaliwa hajawah fanikiwa,mnakumbuka igizo la Faru John mpaka leo Kassim hamna kitu.
  10. A

    Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    Mkuu tuwambie kingilio bei gani
  11. A

    Karibu katika mjadala wa "HALI YA ELIMU AFRIKA" Chimwaga Hall May 18, 2018

    Leo ndoo wanaona ila wakiwa madarakani hawaoni,upumbavu mtupu
  12. A

    Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

    Wee jamaa umamefanya ni cheke sana mpaka nimetoa machozi na bahati mbaya nipo kwenye daladala.
  13. A

    Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Ni kweli Kiba anazengua ,usiri katika mambo yako kama binadam ni vzr ila kuna mambo kama msanii lazima uwe open ili watu wakufaham hasa washabiki zako na wajifunze kutoka kwako.
  14. A

    Zari: Success is not sexually transmitted !

    Hv nyinyi wanawake mnaanzaje kumchukia Zary wa watu? huyu mwanamke yuko smart sana kichwani anajua anachokifanya.Hata huyo Ivan anakuja kumuona alimkuta yupo safi kwenye harakati za kutafta.Kwa hiyo wanawake wakibongo nyinyi hamna kitu jifunze kwa huyo mama.
  15. A

    Kipindi cha kampeni cha magufuli alisema Kwa uchungu juu Ya mateso Ya wanafunzi wanayoyapata kwenye bodi Ya Mikopo

    Jpm zaidi ya katili hakiamungu na kwambia kwenye kuongea yupo tofauti na vile anavyotenda.Kipindi kile alisema mtu unakataa kumpa mkopo tena wenyewe mkopo kwa maana kuwa atarudisha na rasilimali ni za watanzania wote.Hayo ni maneno ya Jpm ila now mm nashangaa kwa hv anavyofanya. Mtu ukiwa na...
  16. A

    Maigizo kila kukicha wacha tuizike elimu kwa ubaguzi huu

    Ameeen,mungu tumuonbe atuondolee hili balaa la duniani na mungu akiamua anafanya.Lamsingi tumuombe.
Back
Top Bottom