Je, Tanzania kuna competent actuaries wa kutosha?

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
639
483
From Wikipedia:
Actuarial science is the discipline that applies mathematical and statistical methods to assess risk in insurance, finance and other industries and professions. Actuaries are professionals who are qualified in this field through intense education and experience.

Je Tanzania kuna competent actuaries wakutosha? Wenye BSc Actuarial Science, MSc Actuarial Science and even PhD in Actuarial Science. Na wawe members of professional actuarial bodies (local or international).

Hawa jamaa wangeweza kusaidia kwenye mifuko yetu ya pension, pamoja na miradi mikubwa ya umma ya uwekezaji. Wangeweza kutusaidia pia kwenye management ya public debt.
 
Nadhani hii course imeanzishwa kama miaka mitano au sita nyuma. Wahitimu nimeshawaona wengi tu wengine nawafahamu binafsi.
Hii kozi mtu ukiisoma na ukapasua vizuri, kazi husumbuki.
 
nji hii hata mkiletewa malaika akikaa na nyie muda wa mwaka atageuka awe jini!
mnawahonga na kuwatoa kwenye line ili wawathibitishie miradi ya ovyo ovyo mpige pesa.
 
Chini ya CCM hakuna dua wala Sala inaweza kufanya kazi Tanzania..
 
Ni kweli. Nimeona UDSM wanatoa BSc Actuarial Science.

Je curriculum ya Tanzania ni nzuri kama ya huko UK? Sijaona wakitoa MSc Actuarial Science. Je Tanzania kuna watu wengi wenye MSc Actuarial Science. What about PhD in Actuarial Science? Je kuna watu wengi ambao wamefaulu mitihani ya professional bodies za kimataifa? Au je mitihani ya professional bodies za Tanzania ni competent kama hiyo ya kimataifa? Najua kozi hii ni ngumu sana.

Ni kweli pia wanaweza kuwa politically influenced au kuwa bribed kumake bad decisions. Lakini wakiwa wengi, well paid and competent itakuwa vigumu kuwa bribe wote. Kumbe kuna uzi huu ambao uko some how related: Afrika Mashariki ina actuarial scientists 46, ila wote Wakenya
 
Alafu hiyo course ndo yaongoza kutoa Wanafunzi wenye GPA kubwa kwa collage ya CONAS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom