Search results

  1. Chuma Chakavu

    Wanawake wanaovaa madira

    Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na wanawake wanaovaa madira kuliko hawa wanaovaa visuruali vya kubana au visketi vifupi. Mwanamke na hasa umkute ana shepu halafu akuvalie dira, wallahi huwa nahamasika, yaani huwa wananivutia sana. Mimi la aziz wangu alikuwa hapendelei kuvaa madira...
  2. Chuma Chakavu

    Kwa hali hii wanawake hawawezi

    kwa matukio yaliyotokea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa umoja wa wanawake(UWT) nimebadilisha mtazamo wangu kuhusu wanawake kushika uongozi wa nchi hii, nchi yetu haiwezi kuongozwa kwa vijembe na mipasho ya kipashkuna namna ile, hatuwezi kuongozwa na mtu au watu wenye uwezo finyu wa kukabiliana...
  3. Chuma Chakavu

    Baba Rostam!

    Siku ya Ijumaa tarehe 7/10/2011 mke wangu alijifungua mtoto wa kiume na tulikubaliana kuwa yeye ndo amchagulie jina mtoto. Sasa leo usiku narudi home toka kwenye mishemishe zangu, mke wangu ananiambia kampa mtoto jina la ROSTAM. Nikadhani ananitania kumbe she's serious na yeye anajua vilivyo...
  4. Chuma Chakavu

    Unapotuma message

    kwanini tunapotuma message kwa kutumia simu za mkononi salio huwa linakatwa hata kama message yenyewe ikiwa 'not sent' au haijawa delivered? Je hii ni halali? Hapa haya makampuni ya simu yanakuwa yanatoza hela kwa huduma ipi waliyokupatia? Mtu unayemtumia anaweza akawa kazima simu au yuko out of...
  5. Chuma Chakavu

    Wabunge acheni hizo!

    Jana kwenye kikao cha bunge wakati mbunge wa CHADEMA- Leticia Nyerere alipokuwa anazungumza alikuwa akichanganya kiingereza na kiswahili, kuna mbunge mwingine simkumbuki jina wala chama chake akaomba mwongozo wa mwenyekiti kwa kutoa taarifa kwamba ni kinyume na kanuni za bunge (akaisoma)...
  6. Chuma Chakavu

    Hodiii...!

    Heshima zenu wanajamii!!, nimeamua kujumuika pamoja nanyi baada ya kuwa observer kwa muda mrefu, nimelisoma game na sasa tuwe pamoko katika libeneke. natanguliza shukrani
Back
Top Bottom