Search results

  1. deojames

    Jinsi ya kuupgrade windows phone 8 to windows phone 8.1

    fuata hizi procedures................. 1. Tengeneza developer account via this link http://tinyurl.com/mdw4bgx 2. Download preview for developers app from store Preview for Developers | Windows Phone Apps+Games Store (United States) 3. Open preview for developers app kwenye app list, accept...
  2. deojames

    create windows apps without coding at all.

    je una idea za kutengeneza windows apps lakini haujui programming! Basi jua kuna software unaweza kuitumia kutengeneza apps bila kucode, inakuwa kama unatumia microsoft office kutengeneza apps ambazo zina GUI. Unaweza tengeneza softwares aina mbalimbali kama database, multimedia, text processing...
  3. deojames

    vodacom speed

    Wadau hivi ninyi huko speed ya vodacom 3g ikoje? maana mimi kwa siku kama nne hivi speed ni slow vibaya most of the time napata 10KB/s or less.
  4. deojames

    Jinsi ya kutuma message bureee!!!

    Ili uweze kupata hii service unachotakiwa ni kufungua hii website JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application kisha download jaxtrsms app ambayo ni compatible na simu yako. Ukishadownload hiyo app ifungue na ujiregiste, ukishamaliza hawo jamaa watakutumia validation sms kwenye...
Back
Top Bottom