...kama mtakumbuka hawa wabunge ndio walikuwa vinara wa uasi dhidi ya cdm kuhusu kambi rasmi bungeni..! Sasa wanakula walichovuna..! Ninamuonea huruma sana kafulila(kijana)..ndani ya miaka 2 umeshahama vyama vitatu(3)...kaka kafulila tuliaaaaaaaaa...kuwa kama mentor wako zitto.!
...Hivi CDM si walikataa kushiriki mchakato wa kupitisha sheria ya kuunda tume ya Katiba?..na baada ya kupitishwa wakasema watamshauri/mshinikiza Mh. Rais asi-sign??..walipokwenda Ikulu nini kiliwapata mpaka waka-sign makubaliano ambayo hayakuwa na kipengele cha kumzuia Rais asi-sign...
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa jana alitoa kile kilichokuwa kikimsibu moyoni mwake kwa muda mrefu na kusema kuwa atashinda vita dhidi yake.
Akitumia vifungu vingi vya Biblia, Lowassa ambaye amekuwa katika misukosuko mingi ya kisiasa tangu alipojiuzulu...
Takribani mwezi mmoja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuteua wakuu wa mikoa wapya, akiwamo Ludovick Mwananzila, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, sasa amehamishiwa mkoa wa Lindi.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ally Nassoro Rufunga, amehamishiwa Mkoa wa Shinyanga.
Rais Kikwete aliwateua...
Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.
Kiongozi wa upinzani nchini Zambia mh. Michael Sacha amechaguliwa na kutangazwa mshindi wa Urais nchini humo..Je cc tuko karibu hivyo..? Tunaye Michael Sacha hapa kwetu..?
Tunahitaji Rais 2015 atakayetuepusha na matamko yanayopingana kama haya.....wakati mh. Rais jk ametangaza Nyamisisi Pinda anasema hivi...Hata kama kuna mtu alitaka makao makuu yawe Nyamisisi, kwa kweli haikupaswa hiyo Nyamisisi kuchomekwa hivyo. Hata mngeniuliza mimi makao makuu yawe wapi...
Ni kawaida kusikia mh. Rais amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri..lakini c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa kabisa. Prof. Mwakyusa (daktari wa mwl Nyerere) alitemwa.! jamani kama kuna mtu anadata zake kuwa kosa lake lilikuwa nini mpaka mh. Rais akaamua kummwaga atumwagie..!
Naibu Spika ametangaza kuundwa kwa Tume(Kamati) Teule ya Bunge kuchunguza mchakato wa kurudishwa kwa Jairo kazini na kudhalilishwa kwa Waziri Mkuu pamoja na Bunge kulikofanywa na Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Luanjo.
Wana JF ninaomba tubainishe sifa za wajumbe wa hiyo kamati/tume maana ninahisi...
Wabunge wa mkoa wa Dar alisema matusi waliyotukanwa kuwa wanafikiri kwa kutumia makalio badala ya kichwa yamewadhalilisha katika chama chao, jamii, wapiga kura wao, wabunge wenzao pamoja na familia zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.