Search results

  1. M

    USHUHUDA: Nilinyang'anya binti aliezalishwa kwa mwanaume na sasa she is among the best students

    Hii haijatokea hewani, serikali yenyewe ilishaanza mchakato wa re entry policy, penda kujielimisha kabla ya kukurupuka!
  2. M

    Nahitaji ushauri wako kuhusu saratani ya damu

    Pole sana ndugu. Nipo hospitali moja hapa India, kuna mama kutoka Kenya anatibiwa cancer ya damu kwa kufanya born marrow transplant,alivyonieleza ni kwamba wanaua cell za cancer halafu baada ya muda ndio wanaweka born marrow toka kwa donor, mtu mnayematch. Gharama zao ni kubwa,kiasi. Kama...
  3. M

    Msaada namna ya kupata visa ya Australia

    Dear Jf members, poleni na majukumu. Tafadhali, naomba msaada namna ya kupata visa ya Australia. Nasikia hapa nchini hamna ubalozi na visa ni mpaka Afrika Kusini. Tafadhali yeyote anayefahamu anisaidi. Utaratibu unakuaje? Asanteni.
  4. M

    kweli huyu mtu anamapenzi ya dhati

    Sijaelewa kwa kweli! !!!
  5. M

    Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

    Ama kweli Mchelea mwana kulia atalia mwenyewe!
  6. M

    Hii Imekaaje?

    Hope mlikua na siku njema ya "Wapendanao". Jamani, hivi hii imekaaje? Mpo mabinti wa tupu mmeamua kutoka na kwenda ku barizi either bar au kwenye restaurant. Mmeagiza vinywaji vyenu na mnaendelea na starehe zenu, mara anakuja mhudumu na vinywaji akidai ameagizwa alete kutoka meza flani...
  7. M

    Visa ya Indonesia

    Asante sana mdau, be blessed, ntakwenda kesho!
  8. M

    Visa ya Indonesia

    Habari wanajamvi, natumai wote wazima. Naomba kama mtu ana fahamu namna ntakavyoweza kupata visa ya Indonesia, nimejaribu kucheki kwenye mtandao wanasema hawana embassy in Tanzania, so nitafute nearest embassy nchi nyingine. Kuna information nyingine pia zanaonyesha kwamba embassy ipo karibu na...
  9. M

    Nahitaji ushauri wenu zaidi juu ya hili - Kama ni ndoa basi imejibu

    Natamani ungetueleza japo kwa undali jinsi ilivyokua lol!
  10. M

    Nimenuniwa kisa nimejiita Bachela mbele yake!!!!

    Duh? pole mkuu kwa yaliokukuta. Ila statement kama hiyo na kwa mazingira ambayo umeitoa inaumiza flani! Hata mimi ingeniuma, ningeona hunithamini na sina mchango wowote kwako! Katika mazingira kama hayo ingebidi umtetee kwa nguvu zaidi mpenzi wako ili kihere here kimuishe huyo alopewa lift...
  11. M

    Magodoro Dodoma

    Heri ya mwaka mpya wadau! Ninashida ya kufahamu bei ya dogoro la dodoma 5X6 kwa wale walonunua siku za karibuni. Ahsanteni
  12. M

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    Mmm! Wadau its like michango mingi inalenga kumponda huyu dada just because she drive! tatizo ni kwamba mume anamnyanyasa, na sidhani kwamba issue ni mafuta au hilo gari, inawezekana she is a victim na ananyanyaswa kwa mengi! If you a real man, huwezi muacha mkeo ame stuck hana mafuta and you...
  13. M

    Crib la Profesa JAY na mikoko ya kufa mtu

    Hongera bro, angalau una pa kuweka ubavu though wananchi walitegemea makubwa zaidi ya haya, time will tell!
  14. M

    Kwa wale tunaotembea na waume za watu

    Kivue hicho kiatu!
  15. M

    NMB Jirekebisheni

    Hallow everyone! hope mko poa na mlisherehekea Eid Salama. Kwa kweli nakwazika sana na namna ambavyo NMB bank ina handle customers. Rafiki yangu alikwenda kutoa hela kwenye ATM ya NMB maeneo ya Kinondoni. Bahati mbaya umeme ulikatika ghafla kabla ya hela kutoka, kwani umeme ulikatika mara tu...
  16. M

    Msaada wa ushauri/Nasaha..

    Pole sana kaka! ni vigumu sana kusamehe but imeshatokea. Haikua bahati yako, mwachie Mungu kwani kisasi ni juu yake. Wewe Muombe Mungu, jitahidi kumsahau, ikiwezekana hata nenda kaanze maisha a fresh mahali pengine. Huyo ni mtu tu, mmekutana nae, hukuzaliwa nae so hana power ya kuharibu maisha...
  17. M

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Sera za ujamaa zimetuathiri sana, tumetegemea zaidi kufanyiwa vitu na serikali, sasa tumeingia kwenye mfumo wa kibepari tukiwa na mawazo na kijamaa, so tunabaki kulalamika tu wageni wakichukua kazi zetu, wengi wetu sio aggresive na ntunaogopa kujaribu mambo mapya. Hii yote ni sababu ya mifumo...
  18. M

    tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    Naandika nikiwa na uchungu sana. Mama yangu ana line ya tigo na amekua akiitumia siku zote na ameisajili. Kama siku mbili zilizopita, tukipiga simu yake imekua ikienda kwa mtu mwingine. Na huyo mtu amedai kwamba ameinunua hiyo number kutoka Tigo, ila ameshangaa kugundua kwamba ilikua ya mtu...
Back
Top Bottom