Visa ya Indonesia

mdhama

Member
Apr 11, 2011
48
19
Habari wanajamvi, natumai wote wazima. Naomba kama mtu ana fahamu namna ntakavyoweza kupata visa ya Indonesia, nimejaribu kucheki kwenye mtandao wanasema hawana embassy in Tanzania, so nitafute nearest embassy nchi nyingine. Kuna information nyingine pia zanaonyesha kwamba embassy ipo karibu na Palm beach lakini wanatoa visa for American and Canadian citizens! Yeyote mwenye kujua ntapataje visa anisaidie please! Thank you in advance.
 
Visa ya Malaysia ya kwangu niliipatia Kenya Nairobi. Kipind fulan. Kampuni yangu ndo ilishuulikia hilo. So wawezaulizia may be hata za indonesia ni ukouko
Ol th Besr
 
Visa ya indonesia unapata hapo hapo Dar!! nenda pale Palm Beach Hotel, uliza ubalozi wa Indonesia utaupata. Kama unatokea mwenge, ukishuka kituo cha Palm Beam, opposite yake ni ubalozi wa Indonesia. Mi nilipata mwaka 2009 October!!
 
Asante sana mdau, be blessed, ntakwenda kesho!
 
Back
Top Bottom