Search results

  1. kasambalakk

    Hivi TANESCO hawawezi kuunda app ya kununua umeme na kuingiza?

    sasa hivi wanayo application ya TANESCO App ambayo mtu yeyote anaweza kutumia kutoa taarifa kwao kirahisi inapatikana appstore na play store
  2. kasambalakk

    Account ya Netflix

    Naomba link ya netfix
  3. kasambalakk

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii iliwahi kutokea nikaenda ofsi za tanesco na kutoa taarifa, najua huduma hii ni bure jombaa
  4. kasambalakk

    Kutumia internet laini nyingine kwenye simu ya vodacom

    vodafone za voda ambapo huwa zipo kwenye promotion
  5. kasambalakk

    Kutumia internet laini nyingine kwenye simu ya vodacom

    ninatumia smartphone za vodacom, ambazo ni lazima sim 1 lazima iwe voda na uwezi kuunga network kwa sim 2, msaada jindi ya kutumia sim 1 laini nyingine zaid ya vodacom, asanteni
  6. kasambalakk

    Natafuta mtaalamu wa kufunga tracker kwenye vyombo vya usafiri

    habari wanajamvi, naweza kupata maelezo na sehemu ambapo ntaweza kupata utaalam wa kufungiwa tracker kwenye chombo cha usafiri kama pikipiki au bajaj kwa ajili ya kujua ilipo na kuona mienendo yoye ya chombo huska asanteni
  7. kasambalakk

    Kutumia internet laini nyingine kwenye simu ya vodacom

    habari wanajamvi, nimenunua simu za vodacom lakni na shindwa kutumia data lain nyingine kwa sababu lain ambayo unatakiwa kutmia data ni voda nashindwa kupata uwezo wa kutumia data kwa laini nyingine, naomba msaada wa maujuzi wa kutumia data kwa laini zote pia jinsi ya kuweza kutumia laini...
  8. kasambalakk

    Wamiliki wa Bodaboda za biashara tukutane hapa

    Natafuta wanaofunga gps kwenye pikipiki hapa dar AJe inbox
  9. kasambalakk

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    NA mie pia ntasubiri jibu toka kwa wataalam wakija hapa
  10. kasambalakk

    Wamiliki wa Bodaboda za biashara tukutane hapa

    Zanzibar Spices naomba namba za watu wa gps niwatafute mkuu
  11. kasambalakk

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari kwa uwelewa wangu mdogo watu wa TANESCO watanisaidia kama ntakuwa nakosea. tarrif 4 ni wateja wadogo wa umeme vijijini na wenye matumizi madogo ambao kama sikosei ni watumiaji wa umeme wenye unit chini ya 75 kwa mwezi ambapo wananunua umeme kwa shilingi 108 bila kodi za serikali na...
  12. kasambalakk

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO mpo vizuri lakni hata mie niliomba kubadilishiwa ilichelewa lakni baadae walinibadilishia Ore...
  13. kasambalakk

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    weka na namba ya mita watakusaidia moja kwa moja
  14. kasambalakk

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    nimeona wamesema kuwa akaunti ipo salama yale yalikuwa maelezo ya mteja walikopi. nilishituka nikajua labda waneibiwa PW lakni wapo vizuri
  15. kasambalakk

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    me nakumbuka walisema nikiona manunuz yangu ni chini ya unit 75 kwa mwezi kwa miezi miwili nilienda ofisin kwao wakanipa karatasi nikaandika barua kama ushahidi nikaacha baada ya muda walinipigia simu kuwa tayari baada ya kukidhi mahitaji..waliniambia nisinunue umeme zaidi ya shilingi 9150 kwa...
  16. kasambalakk

    TANESCO: Heri ya Sikukuu ya Pasaka

    waambie Mbezi Beach sehemu gani ili kuwa rahisi sana kukuhudumia. hawa jamaa wapo faster sana hadi naogopa TANESCO
Back
Top Bottom