Tunaomba nambanyalonya simu tuangalie kwenye taarifa zetu kama kipo awamu ipi kisha tutakujulisha
Kijiji Mabuye kiko REA III Round 1, Hivyo kinapata Umeme wakati wowote kuanzia sasa pindi ujenzi utakapoanza.
 
Mimi ni mkazi wa kimara baruti hapa dar es salaam nyumba yangu ilipata tatizo la luku kutoingiza moto (haidisplay chochote) nikawapigia emergence wakaja wakaangalia tatizo wakadai lipo nje ya wao kwa vile zinatakiwa kubadilishwa nyaya.

wakapima urefu wa zile nyaya kisha wakaandikia maelezo na kuniambia tatizo langu litapelekwa maintance chumba no 10. sasa inakaribia week hawajatokea hao watu wa maintanance.na nyaya zinatoa cheche hadi nahisi nyumba yangu kuungua. No yangu ya tatizo ni 4329.msaada please
 
Mimi ni mkazi wa kimara baruti hapa dar es salaam nyumba yangu ilipata tatizo la luku kutoingiza moto(haidisplay chochote)nikawapigia emergence wakaja wakaangalia tatizo wakadai lipo nje ya wao kwa vile zinatakiwa kubadilishwa nyaya.wakapima urefu wa zile nyaya kisha wakaandikia maelezo na kuniambia tatizo langu litapelekwa maintance chumba no 10.sasa inakaribia week hawajatokea hao watu wa maintanance.na nyaya zinatoa cheche hadi nahisi nyumba yangu kuungua. No yangu ya tatizo ni 4329.msaada please
Samahani kwa usumbufu ndugu mteja. Naomba utusaidie namba ya simu
 
Mimi ni mkazi wa kimara baruti hapa dar es salaam nyumba yangu ilipata tatizo la luku kutoingiza moto(haidisplay chochote)nikawapigia emergence wakaja wakaangalia tatizo wakadai lipo nje ya wao kwa vile zinatakiwa kubadilishwa nyaya.wakapima urefu wa zile nyaya kisha wakaandikia maelezo na kuniambia tatizo langu litapelekwa maintance chumba no 10.sasa inakaribia week hawajatokea hao watu wa maintanance.na nyaya zinatoa cheche hadi nahisi nyumba yangu kuungua. No yangu ya tatizo ni 4329.msaada please
Samahani kwa usumbufu ndugu mteja. Tunaomba utusaidie namba yako ya simu
 
Ndugu mpendwa mteja
Tatizo la Lindi linafanyiwa kazi na hali ya umeme itakuwa bora hivi karibuni
Nashukuru sana ila hizi faraja zimetuchosha kwa kweli tatizo hasa n nini labda ni vifaa, utaalamu, madeni, hali ya hewa au ni nini????
 
Mimi ni mkazi wa mbezi beach karibu na ofisi za serikari ya mtaa .

hapa jirani kuna kiwanda cha kufatulia matofali kuna mtu amekianzisha .tatizo kuchukuwa umeme wetu wa MATUMIZI ya kawaida wakachimba chini ya ardhi wakapitisha nikishirikisha mafundi wenu wasiowaaminifu nyaya zimepita chini kwa chini mpaka kwenye kiwanda chake wakazifukia jirani na yeye kuna frem za Maduka watu wanaendesha kwa kujipatia kipato sasa Mar a anapowasha hizo mashine zake fridge na mashine nyingine zinazotumia umeme hazifanyi kazi inavyotakiwa kwa sababu mashine zake zinatumia umeme mwingi.

Swali langu ina maana nyinyi tanesco hili tatizo hamlioni ?tumesharipot mtu anakuja pale anaishia kuondoka na bahasha .ofisi ya serikari ya mtaa wanayo taarifa lakini tunashangaa wako kinywa .bila shaka siku kadhara yakitokea mtaunda tume. Kazi kwenu na Tanzania mpya ya viwanda
 
Mimi ni mkazi wa mbezi beach karibu na ofisi za serikari ya mtaa .hapa jirani kuna kiwanda cha kufatulia matofali kuna mtu amekianzisha .tatizo kuchukuwa umeme wetu wa MATUMIZI ya kawaida wakachimba chini ya ardhi wakapitisha nikishirikisha mafundi wenu wasiowaaminifu nyaya zimepita chini kwa chini mpaka kwenye kiwanda chake wakazifukia jirani na yeye kuna frem za Maduka watu wanaendesha kwa kujipatia kipato sasa Mar a anapowasha hizo mashine zake fridge na mashine nyingine zinazotumia umeme hazifanyi kazi inavyotakiwa kwa sababu mashine zake zinatumia umeme mwingi. Swali langu ina maana nyinyi tanesco hili tatizo hamlioni ?tumesharipot mtu anakuja pale anaishia kuondoka na bahasha .ofisi ya serikari ya mtaa wanayo taarifa lakini tunashangaa wako kinywa .bila shaka siku kadhara yakitokea mtaunda tume. Kazi kwenu na Tanzania mpya ya viwanda
Duh
 
Nawashukuru sana Tanesco kwa ufuatiliaji wenu, nilieleza shida yangu lakini Tanesco mlifuatilia shida yangu na kunipatia majibu mazuri, zaidi mlinipigia simu kwa muda mrefu mkanielimisha vizuri sana, hakika nilifurahi sana na nawapongeza sana pia natamani ofisi za umma zote zingekuwa na ufuatiliaji kama mlionionesha. Mungu awaangazie.
 
TANESCO Mkoa wa PWANI, tunawaomba mtuletee, Umeme vijiji vya Mkokozi na Lugwadu katika wilaya ya Mkulanga mji wa Kongowe.

Vijiji hivi vinapakana na Wilaya ya Kigamboni Daresalaam, na kwa miaka mingi tu tunauona umeme wa mtaa wa Mwembemtengu ambao tunapakana nao kwa bonde dogo tu. Usiku mwanga wa umeme unafika hadi katika nyumba zetu lakini toka Uhuru TANESCO Pwani wameshindwa kuweka nguzo moja tu hadi kukifikia kijiji cha Mkokozi.

TANESCO Pwani tunaomba mtuwekee umeme katika vijiji hivyo hata ule wa Mradi wa Umeme Vijijini REA.

Nawasilisha.
 
Asante kwa mrejesho huo, na kwa niaba ya Shirika tunaomba radhi kwa hilo ndugu mteja
Asante na namshukuru engineer Wa Mbezi sana anajitahidi mno ,,kufuatilia ila watendaji Wa chini yake ndo wanamuangusha,,ndiye alieishughulikia issue yangu ,,yaaani baada ya kumuona 2days umeme ukawaka
 
TANESCO Mkoa wa PWANI, tunawaomba mtuletee, Umeme vijiji vya Mkokozi na Lugwadu katika wilaya ya Mkulanga mji wa Kongowe.
Vijiji hivi vinapakana na Wilaya ya Kigamboni Daresalaam, na kwa miaka mingi tu tunauona umeme wa mtaa wa Mwembemtengu ambao tunapakana nao kwa bonde dogo tu. Usiku mwanga wa umeme unafika hadi katika nyumba zetu lakini toka Uhuru TANESCO Pwani wameshindwa kuweka nguzo moja tu hadi kukifikia kijiji cha Mkokozi.
TANESCO Pwani tunaomba mtuwekee umeme katika vijiji hivyo hata ule wa Mradi wa Umeme Vijijini REA.

Nawasilisha.
Tunaomba namba yako ya simu mpendwa mteja ili tuwasiliane
 
Mimi ni mkazi wa mbezi beach karibu na ofisi za serikari ya mtaa .hapa jirani kuna kiwanda cha kufatulia matofali kuna mtu amekianzisha .tatizo kuchukuwa umeme wetu wa MATUMIZI ya kawaida wakachimba chini ya ardhi wakapitisha nikishirikisha mafundi wenu wasiowaaminifu nyaya zimepita chini kwa chini mpaka kwenye kiwanda chake wakazifukia jirani na yeye kuna frem za Maduka watu wanaendesha kwa kujipatia kipato sasa Mar a anapowasha hizo mashine zake fridge na mashine nyingine zinazotumia umeme hazifanyi kazi inavyotakiwa kwa sababu mashine zake zinatumia umeme mwingi. Swali langu ina maana nyinyi tanesco hili tatizo hamlioni ?tumesharipot mtu anakuja pale anaishia kuondoka na bahasha .ofisi ya serikari ya mtaa wanayo taarifa lakini tunashangaa wako kinywa .bila shaka siku kadhara yakitokea mtaunda tume. Kazi kwenu na Tanzania mpya ya viwanda
Tunaomba namba yako ya simu ili tuwasiliana na kufika eneo lako mara moja
 
Morogoro
Tumeomba service line nimeshalipia Bank eti tunaambiwa nyaya nishida kwa nini lakini munatunyanyasa hivi wateja wenu
 
Back
Top Bottom