Search results

  1. S

    Hivi jimbo la Kisarawe lina Mbunge?

    Naamini kuwa hii ni wilaya/jimbo ambalo ni maskini kuliyo yote Tanzania Hivi wana kisarawe mnashindwa kumput to task huyo mbunge wenu (kama yupo)? Mambo ya musing kama Maji, Umeme, Barabara na Afya ni non existent kwenye hili jimbo Kama mmeshindwa kwa nini mnashindwa kumshitakia kwa Rais au...
  2. S

    Kwa nini Wachagga,Wanyamwezi na Wahehe wawe na Machine lakini sio Wa Digo?

    Hivi mshawahi kujiuiza kwa nini sisi wadigo haturuhusiwi kuwa na chief wetu? Adam Mkwawa(13), Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa aliyefariki 14/02/15
  3. S

    Kisarawe tumeikosea nini serikali?

    Hii ni barabara ya Longido kwenda Arusha. Imejengwa na serikali. Kuna abaya gani na sisi tukajengewa barabara nzuri kama hii tena ni short cut kutokea mbuga ya wanyama ya Selous Sasa sisi tunalipa kodi kama watu wengine lakini hatutembelewi na viongozi wajuu wa serikali, Mbunge wetu ni bosi...
  4. S

    WITO: Magufuli njoo utupashe Kisarawe kama ulivyowapasha Bukoba

    we really need red pills from mkuu pia zuia pesa za maendeleo jimbo hili na kura tutaendelea kuwapa CCM we don't deserve INVESTMENTS WALA MAENDELEO huku..
  5. S

    Hakuna evidence(Receipt) kuwa NSSF wamenunua kiwanja kwa Milioni 800 Kigamboni

    So far hatujaonyeshwa risiti za manunuzi kuonyesha kuwa NSSF walinunua Kiwanja kwa shilingi milioni 800 Hatujapewa jina la muuzaji, ukubwa wa kiwanja, plot number, tile number na stakabadhi ya malice Sasa why media hawaulizi haya maswali?
  6. S

    Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    Land for Equity (Ardhi Kwa Hisa) na Mradi wa NSSF Dege Beach Kigamboni Jana Magazeti mengi yameandika kuwa kuna ufisadi mkubwa kwenye miradi ya Shirika la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Hasa Mradi wa Dege Beach Huko Kigamboni ambapo imeelezwa na magazeti yetu ambayo yana editors na waandishi wasomi...
  7. S

    Vita ya Lema vs Gambo Arusha: Kisarawe waingilia kati,wanataka kupora wawekezaji

    Ama kweli mama za magufuli zinatupatia changamoto. Sasa watu wanashindana kufanya kazi na kama mkiendelea na uzembe na mambo ya kutaka kusifiana wengine wanakuja kuchukua fursa. Taarifa za uhakika ni kuwa Kisarawe wameamua kufanya jambo la ajabu kabisa ambalo wilaya zingine kama za Bagamoyo...
  8. S

    Kisarawe tunaomba vitu 3 tuu toka kwa Rais Magufuli

    Maana kuja najua hutokuja maana sisi huku tumelaaniwa na hakuna mtawala anayetujali lakini tunaomba mambo mawili tuu. 1. Barabara ya lami imalizwe toka Kisarawe mjini mpaka kuingia kwenye mbuga ya wanyanma ya Solous 2. Umeme 3. Maji Hatutaki shule, hospitali, magorofa wala nini toka...
  9. S

    Serikali wasaidie Samvulachole na Kisalawe Wanateseka

    Njooni muone huki kipande cha Tanzania kilivyobaki nyuma kimaendeleo baada ya miaka 50 ya uhuru Wananchi wanakula mizizi, hawana maji, hawana hospitali, hakuna shule, hakuna barabara, hakuna umeme, hakuna hospitali wala vituo vya afya. Lami imeishia kisarawe mjini japo njia hii ndio rahisi kwa...
  10. S

    Wananchi wanakula mizizi Kisarawe

    Juzi nimeenda Wilaya ya kisarawe nikashangazwa kuona dhiki ilkiyokubuhu kule. Lakini lililonitisha ni kuambiwa kuwa wananchi wako maeneo ya kibuta wana dhiki kiasi cha kuwa hawana hata chakula wameishia kula mizizi Hivi kweli miaka 50 baada ya uhuru imekuwaje wilaya ile inaonekana kama vile...
  11. S

    Landmark domestic trial victory:Tanzanian Domestic Worker in the UK awarded £56,000

    kama kuna mtu ana address yake anipe maana hii credit crunch itanua jama yaani hata LIDL chakula bei juu BREAKING NEWS!!!!!! Landmark domestic trial victory as Tanzanian Domestic Worker in the UK is awarded £58,585.00 Miss Elizabeth Kawogo, a Tanzanian citizen was brought to London in...
  12. S

    Kikwete, Mwondoe MEMBE, mpe nafasi MAHIGA Foreign Affairs

    Nadhani its about time BERNARD MEMBE akaendelea na shughuli zake binafsi kama za ID cards na kuwapangisha wabunge wanawake nyumba kule Dododma na nafasi yake nina suggest apewe adui wake mkubwa bwana AUGUSTINO MAHIGA ambaye kwa muda mrefu I have come to admire. MAHIGA PROFILE: MUNGU...
  13. S

    JamiiForums imesababisha Lowassa awe jobless?

    Kama sikosei ni sisi humu JAMBO FORUMS ndio tuliokuwa wa kwanza kuwa na habari ya MIKATABA ya ubadhirifu wa jamaa zake JK lakini kama kawaida wale walio karibu na watawala wakaanza kuleta stori za ohhh LETE EVIDENCE mara ohhh HAMISHA PELEKA KWENYE UDAKU mara ohh kiko wapi? In the...
  14. S

    Afunguliwa kesi kwa kumuuliza Swali Waziri Mkuu..

    Afunguliwa kesi kwa kumuuliza Swali Waziri Mkuu.. STAILI ya Waziri Mkuu, Bw. Edward Lowassa anapokuwa katika ziara mikoani ya kuruhusu wenye kero waulize maswali sasa imezidi kuwa mzigo kwa wananchi, uchunguzi wa kina wa gazeti hili umebaini. Uchunguzi huo katika ziara kadhaa za Waziri Mkuu...
  15. S

    Watu wa UK tazameni Channel 4 sasa hivi

    Wabongo wanahojiwa na kipindi ni one hr Admin hebu iache kwa muda hapa
  16. S

    Wana JF Hawa Wako Wapi?...

    nimeona nichukue fursa hii kuuliza huyu mwenzetu yuko wapi? je walifungiwa au vipi? Je kamdhulumu mtu humu? tushamtafuta kila kona haonekani vipi? Manakijiji mara ya mwisho wewe ulikuwa na mvutano naye ,je unaweza kutufahamisha yuko wapi MLALAHOI?
  17. S

    Eti JF ni CHADEMA?

    Wengi wanaamini hilo Discuss
  18. S

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Freeman Mbowe: Kuna nyeti kuwa madeni yamezidi na sasa hivi yuko bize kuyahamisha na kubadilisha ownership toka binafsi kuwa ya kampuni and so on. Lakini waliomdhamiria nao washachoka, kwani kuna institute moja inamdai zaidi ya bilioni 3. Hili linanitia hofu kwani kwa Upinzani ambao ni...
  19. S

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Najua hii topic haitokuwa popular na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya? Mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juu kule Ikulu na vile vile namba...
Back
Top Bottom