Kwa hakika ni oil,haijawekwa recommended!Mafundi wetu Hawa wamekariri kwa kuweka oil nzito ya 20w50 kitu ambacho kinasababisha oil kutoflow vizuri kwenye parts za engine...
Jana usiku nimekesha nikireview hizi oil!
Yaani nimehamia na Mimi muda Si mrefu naenda kuweka 5w30 .Mi mwenyewe mafundi...
Habari zenu wakuu mbalimbali [emoji23][emoji23]
Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine…
So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi...
Unamaanisha nini unaposema sera ibadilishwe na kuwa 30% ya manunuzi ya bidhaa yafanywe na vijana?
Ninachojua kazi ya kununua hasa kitaasisi ina idara maalumu ya manunuzi ambayo kazi zake zimeainishwa kwenye sheria ya manunuzi...Sasa hapo vijana wanunue??Aaah sijakuelewa,taasisi zina wafanyakazi...
Hongera sana Mama,Dr Florence Samizi!Sisi wananchi wako wa Kibondo(Jimbo la Muhambwe) Tunaelewa sana harakati zako za kutuletea maendeleo...Umekuwa mwenye juhudi sana katika kufikisha azma hiyo!Mwenyezi MUNGU akupe nguvu zaidi usichoke kutupambania mama yetu mh Samizi.
Binafsi ushauri wa Dr Kimei una mashiko,ana speculate yajayo na sababu zake....
Sio tukope tu wakati dunia inakumbana na #Covid19 na vita inayoendelea ya Urusi na ukraine!
Kinachonishangaza hawa wanawake hawaamini kama wanaume nao ni binadamu kama wao,Mzunguko wa pesa hauchagui jinsia.
Juzi nikakutana na status nyingi za wadada wakidai mwanaume anayeitikia sawa baada ya kuambiwa bando limeisha wanamwita anaitikia kama mbuzi?!😂😂Yaani eti mwanaume asikose pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.