Quicklime
Senior Member
- Mar 30, 2011
- 174
- 62
Haya kaka?!Tunasubiri urudishe kadiZamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Haya kaka?!Tunasubiri urudishe kadiZamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
😆😆😆😆😆😆😆Huyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Hivi mnapopinga tetesi zenye ukweli huwa mnafikilia nini? Haya unajisikiaje huko uliko??Hivi mnapotunga mambo kama haya huwa mnalenga nini ?
Vipi Dada Faiza unasemaje kuhusu Makonda?Huyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Daaaa! Kaka kadi inarudi sasa kwani tayar hukoZamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Mlongo, wuli? Ka-risk sasa, unasemaje?Mtu anayetuhumiwa na taifa kubwa duniani kukatisha maisha ya watu Leo una mweka kwenye serikali yako,Sidhani kama Mama anaweza kurisk Kwa kiwango hicho,
Huyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Mambo yanenda Kasi sana😀😀😀.Huyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Mambo ni mengi😀😀😀.John ebu uwahi kanisani wakuombee, hata hujui CCM kiundani kumbe...
Mama Samia, Raiz wetu, hawezi fanya huo uteuzi wa kijinga hivyo, hata milele yote.
Bwana Jay One, tuambie, CCM unayoijua kiundani ni ipi? Usisahau, ameteuliwa na mwenyekiti wa CCM na si raisJohn ebu uwahi kanisani wakuombee, hata hujui CCM kiundani kumbe...
Mama Samia, Raiz wetu, hawezi fanya huo uteuzi wa kijinga hivyo, hata milele yote.
Karibu Tz mkuu.Dab ndo nani?
We endelea kujiuliza huku wenzio wanaendelea kuteuana bila vyetiBila vyeti? Au Ajira za CCM hazina CV
PyeeeeeeeeMtu anayetuhumiwa na taifa kubwa duniani kukatisha maisha ya watu Leo una mweka kwenye serikali yako,Sidhani kama Mama anaweza kurisk Kwa kiwango hicho,
Unasemaaa..!!!!Kasoro zake ni fatal huwezi ku repair
Wewe Ni mwamba💪💪💪💪Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.
Ngoja tuone!
====
Soma: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mwenezi CCM
Kwani hujui?Ngoja tuone kama nchi yetu imegeuka mali ya ukoo!.
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app