Kaka Sam nilipotelewa simu ikiwa na namba yako, baada ya kuahidiana kuja Mwanza kujitolea kwa nafasi ya information technology. Hivyo ukisoma thead hii tafadhali nijulishe.
Kaka hiyo mashine yako inarun background app! Kuzitoa bonyeza start nenda kwenye run alaf andika msconfig alafu itafunguka window mpya hapo click startup then uncheck application zisizokuwa za muhimu. Hapo nadhani mashine yako itakuwa poa.
Click start nenda palipoandikwa run alafu andika msconfig pale kwenye text box ilofunguka alafu bonyeza enter. Hapo itafunguka window nyingine hapo hapo utaenda sehemu iliyoandikwa startup utaclick then hapo uta uncheck software ambazo ni unnecessary ambapo huwa zina run katika background. Kama...
Zima simu toa memory kadi alafu washa memory ikiwa nje alafu type *#7370# alafu bonyeza kifungo cha kupigia. Baada ya hapo certificate error zilizokuwa zinazuia .SIS files kufanya installation zitakuwa poa. Hapo utaweza rudisha m.card yako na kuendelea na matumizi.
Typically when lockups occur,
you should go through the
msconfig utility to remove
unecessary programs from
starting when your computer
does. This will also make your
Computer ni digital thts why inahitajika modem ku-modulate analog signal to digital. Jaribu kuangalia hilo maana signal angani huja kwa njia ya wave ambayo ndo analog na inapofika kwenye modem hubadirika na kuwa on na off ambayo ndo digital signal na huwa tayari kutumika ktk cmptr.
NERO 8 S/N: 9K2K-6K22-9407-AAXX-E1C6- A308-3EE4
Nero-8.3.6.0. Activation. 5E14- C318-994K-0X79-EM59-C21A- K4KE
Secure disc viewer activtion. 5E12- A408-98X4-5703-881M-4AA8-24XE. Haya kaka chukua hiyo ya juu bt kama unama2mizi na hizo nyingine basi ni mali yako.
Ahsante kwa shauri zenu! Mie nimefikiria kitu, kwamba kama ajira hamna basi kwa fani yangu nimeamua nisajiri kampuni yangu binafsi ya mfukoni pale brela kwa sh 6000 nikiwa na maana ya kuanza kutafuta tenda katika makampuni binafsi na ya kiserikali. Nadhani ntafanikiwa, so kama kuna wenzangu wa...
Tafadhali guyz natafuta nafasi ya kujitolea katika fani ya information technology ili kukuza kipaji katika fani, level yangu ya fani ni diploma . Tafadhali kama yeyote atakuwa tayari tuwasiliane kupitia 0682260333
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.