Computer technology and mobile phone solutios.

nina nokia 5800 bt ninapo install appl Inaniandikia certificate error

Zima simu toa memory kadi alafu washa memory ikiwa nje alafu type *#7370# alafu bonyeza kifungo cha kupigia. Baada ya hapo certificate error zilizokuwa zinazuia .SIS files kufanya installation zitakuwa poa. Hapo utaweza rudisha m.card yako na kuendelea na matumizi.
 
nenda kwenye settings-application manager-settings badilisha kwenye software installation iwe all..kwenye online cert. check weka off
ukijaribu ikikataa tena rudisha setting ya tarehe ya simu yako nyuma ie 01-01-2007 halafu jaribu kuinstall tena application yako
 
Mkuu nna compt aina ya ASUS X50RL series ina chelewa kudisply ICONS inachukua kama 3mins hivi. Kabla ilikuwa faster tu. Window ni XP service park2
 
Mkuu hiyo code uliompa wewe ni ku-format hiyo cm, na certaficate error haindoki kwa kuformat.certaficate error huondolewa kwa ku-hack simu au ku-sign apps kama umaelewa mueleze njia hizo, ku format ni kumpotezea vitu vyake vilivyo saved kwenye cm.wala haisaidii chochote kwa hilo tatizo lake
 
nenda kwenye settings-application manager-settings badilisha kwenye software installation iwe all..kwenye online cert. check weka off
ukijaribu ikikataa tena rudisha setting ya tarehe ya simu yako nyuma ie 01-01-2007 halafu jaribu kuinstall tena application yako
Tofaitisha certificate error na certificate expire unapopata msg certificate expire ndio unatakiwa urudishe trh nxuma.
 
Zima simu toa memory kadi alafu washa memory ikiwa nje alafu type *#7370# alafu bonyeza kifungo cha kupigia. Baada ya hapo certificate error zilizokuwa zinazuia .SIS files kufanya installation zitakuwa poa. Hapo utaweza rudisha m.card yako na kuendelea na matumizi.

kaka gamba hiyo code inarudisha kwa factory settings ni vyema mdau akafanya backup kwanza kabla ya kuweka hiyo code
 
Nataka kutumia cm yangu kama modem. Cm ni nokia 2690, natumia line ya vodacom. Naomba msaada plz.
 
unatakiwa upate pc suite au bluetooth.pc suite unaweza ku-search google kisha utadownload, bluetoth zinauzwa kwenye maduka ya computer hardware bei 15,000
 
Nataka kutumia cm yangu kama modem. Cm ni nokia 2690, natumia line ya vodacom. Naomba msaada plz.

weka nokia pc suite kwenye compt yako afu i-connect sim yako via bluetoth,cable or infered lakn kwa cable ndo mara nying huw inakubar kuunga intanet..
Steps fungua nokia pc suite
ikishafungua kiwindow chake ingia sehemu imeandkwa one-touch connection hakikisha simu yko iko konected na pc yko via cable
 
Mkuu nna compt aina ya ASUS X50RL series ina chelewa kudisply ICONS inachukua kama 3mins hivi. Kabla ilikuwa faster tu. Window ni XP service park2

Kaka hiyo mashine yako inarun background app! Kuzitoa bonyeza start nenda kwenye run alaf andika msconfig alafu itafunguka window mpya hapo click startup then uncheck application zisizokuwa za muhimu. Hapo nadhani mashine yako itakuwa poa.
 
Nataka kutumia cm yangu kama modem. Cm ni nokia 2690, natumia line ya vodacom. Naomba msaada plz.

Sio dhumuni hasa la kutumika kuwa modem. utakuwa si mbaya ikiwa ni kwa muda mfupi lakini ina madhara kwenye life span ya betri ya simu yako. kwani cost ya simu na modem kipi cha gaharama.??? Usifanye tu simu kuwa modem sababu inawezekana.
 
ilo tatizo nilikuwa nalo lakini liziinstall kwa kutumia copyuta huwa zinapatikana kwenye SETTINGS-SECURITY -certifaicates kwanza unabidi huwe na
1. nokia pc suite
2.usb cable/pc bluetooth
3.mobi mb browser
certificates: zinasaidia simu kutunza baaathi ya kumbukumbu kama tarehe, hata web/wap browser pia zinatumika kwenye maswala ya ulinzi
hata na baadhi ya mobile software so kwanza download hizo certicates kupitia Nokia Symbian Certificate.zip - 4shared.com - online file sharing and storage - download au all certificates of nokia phones - s40 user-certificates.zip download - Plunder ukimaliza ni tuie private sms nikuambie jinsi ya kufanya
 
Haya mambo private yanini! Wekeni utaalam wenu jamvini hapa na sisi tuelimike
 
Amemwambia aondoe memory card kwanza. Hapo atai format kivipi?

*#7370# hiyo ni miongoni mwa code ukiitumia kwenye symbian fone una format cm. Hata cm waweza format sio memorycad tu.kama unabisha jaribu,ukipiga hiyo itadai pasword weka 12345.
 
Express the problem you have to get a solution

Mkuu GM, nina simu motorola V9, nililetewa kutoka Spain. Nikiiwasha inaniambia (of course inaandika), kuwa niweke PIN CODE, nimeshindwa! Inaonekana kama imefungwa, how can I get solution?
 
Back
Top Bottom