Niko Mwanza nimepoteza namba zako kwa ajili ya nafasi ya kujitolea information technology

Gamba Manoni

Member
Mar 24, 2011
50
73
Kaka Sam nilipotelewa simu ikiwa na namba yako, baada ya kuahidiana kuja Mwanza kujitolea kwa nafasi ya information technology. Hivyo ukisoma thead hii tafadhali nijulishe.
 
KAKA GAMBA NAKUTAFUTA SANA.....UNAKUMBUKA ULINIAMBIA UNAKUJA TABORA MWEZ 4 tarehe 10?Nilikusubir sana ila sikukuona.Sasa nipo tabora ila next week ntakua DAR.kama inawezekana niambie nijue tutaonana vp ili nipate PROGRAMS MBALIMBALI.
 
Nilipita hapo ila wewe ni moja kati ya wale nilopoteza 4n number, kama vp nipe mail add yako niku uploadie.
 
Kaka Sam nilipotelewa simu ikiwa na namba yako, baada ya kuahidiana kuja Mwanza kujitolea kwa nafasi ya information technology. Hivyo ukisoma thead hii tafadhali nijulishe.

Mtumie PM na email yako hata kama hatasoma thread hii akilogin ataipata
 
Back
Top Bottom