Search results

  1. Mgodo visa

    Bei ya Sukari ipo juu

    Vipi wadau mbona Bei ya Sukari imepanda ghafla, tena kwa ongezeko la asilimia arobaini na tano (45%) Naona ugumu wa Maisha kuelekea/kuanza kwa mwaka 2024.
  2. Mgodo visa

    Naweza kujifunza wapi Cyber Security?

    Kwa anayejua, Naweza kujifunza wapi (chuo gani) elimu hizi, Cyber security na Information Security. Kwa anae jua tafadhali.
  3. Mgodo visa

    Sikuwahi kumuelewa Kipanya kwa Uteuzi na yanayoendelea kwa Makonda sina/huna budi kumuelewa

    Ilinichukua muda kuelwa/kuielewa kibonzo hiki, nikasema hapana, ilinichukua muda, ila baada ya Uteuzi wa Makonda na yanayo endelea...!! Jaribu nawe kufungua Macho/Ubongo.
  4. Mgodo visa

    Naomba kujua utaratibu wa kupatia MTAA jina.

    Habari ya leo wana JF wenzangu. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Naomba kujua ni utaratibu hupi ufuatwa ili kuweza kupata uhalali wa kugawia eneo jina la MTAA. Naishi katika eneo ambalo naweza kusema ni Makazi mapya ama Majengo mapya. Eneo hili lina bahati ya kutembelewa na...
  5. Mgodo visa

    Kina Dada na Kina mama (wake za watu) Msituambie shida zenu sisi BODABODA.

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.. Kwanza punguzeni shobo mnapo panda Bodaboda huku mnatushika Mabega yetu. Pili mnatukera sana (wengine) wanakwenda wanachati simu zikiwa Migongoni mwetu. Tatu wengine hawatosheki mpaka Kifua chake na Chuchu (Nyonyo kwa kina Mama) viguse Migongo...
  6. Mgodo visa

    Msanii Jaguar apuuzwe na Watanzania

    Kweli kama moja ya Raia wa Kitanzania, nimesikitishwa sana na kitendo cha Msanii Jaguar (nick name) kwa kauli yake ya kibaguzi dhidi ya Raia wa Kigeni. Katika mkutano wake na Raia wa Kenya (pasipo kujua hata baadhi ya raia wa kigeni walikuwa katika mkutano wake) anaiagiza Serikali yake ikiwa ni...
  7. Mgodo visa

    Tulio chora Tatoos tukutane hapa tupeane na Maana.

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Tatoo ni Imani. Tatoo ni Fikra Tatoo ni Urembo Tatoo ni Falsafa Tatoo ni Siasa Tatoo ni Itikadi nk.nk. Wale tulio chora tatoo katika miili yetu wengi (kama sio wote) kuna jambo/mambo tunayo maanisha ama kuamini katika Michoro yetu. Naomba kwa atakae...
  8. Mgodo visa

    Tofauti kati ya Otism na Schizophrenic

    Naomba kwa anae tambua Maradhi haya anidadavulie tafadhali, nahisi kuna mtu aweza kuwa maradhi haya kwa pamoja. Msaada wenu tafadhali.
  9. Mgodo visa

    Kwenye Msiba Dume Zima na Hereni...!!

    Imenisikitisha sana, kijana anajiita Bill Nas (Bill Nenga) Sijui hata jina lake halisi. Bila haya wala hiyana Katinga Kanzu na Hereni juu.. Nimeshindwa kumuelewa..!!
  10. Mgodo visa

    Nimeshangaa kukuta bei tofauti za mafuta ya Petroli katika Petrol Stations mkoani Kagera

    Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu... Nimeshangaa kukuta bei tofauti za mafuta ya Petroli katika Petrol Stations mkoani Kagera. Hivi hawa Ewura ambao ndio wadhibiti wa Nishati hii (Petrol) katika kusimamia Ubora ikiwa ni pamoja na usimamizi wa Bei, mbona huku vituo kila mmoja na bei...
  11. Mgodo visa

    Ingekuwaje kama JF wangefuta POST zote tukaanza na moja 2018..?

    Habari zenu JF members na wale watumiaji wa kawaida wa Wavuti hii. Baada ya kuaga mwaka wa 2017 kwa furaha na wengine wakiwa na Frustration kibao pamoja na Stress baada ya mambo yao/yetu kwenda ndivyo sivyo (maisha hayana budi kuendelea) Tumshukuru Mungu kuingia mwaka mpya wa 2018. Tumshukuru...
  12. Mgodo visa

    Ni lipi jina halisi la Muokozi..?

    Naomba kufahamishwa wana Jamvi, ni lipi jina halisi la huyu Muokozi (Mwana wa Kondoo) Kama huna hoja tafadhali, pita mbali na UZI huu..
  13. Mgodo visa

    Wazazi wilaya Temeke tumewakosea nini Wizara ya elimu?

    Kama uzi unavyo jieleza hapo juu. Ni masikitiko yangu (huu sasa ni mwaka wa pili) pamoja wa wazazi wengine. Kumekuwa/Umeibuka mtindo ama utaratibu kutoka Wizara inayohusika na mambo ya Taaluma, kuwaelekeza Maafisa Elimu (W) kuhakikisha karibu 100% ya Wanafunzi wote kutoka Shule za watu binafsi...
  14. Mgodo visa

    Wananiita Fundi siku hizi...!

    Naelekea umri wa Mtu mzima sasa, nimekuwa kwenye mahusiano ya Mapenzi pamoja na Kungonoka zaidi ya miaka 30 (thelathini). Thanks to God kwani ningali na Afya njema na imara kufuatia yeye kuninusuru na Magonjwa mbalimbali (naamini watu wazima mmenielewa) Nirudi katika mada (point), kama nilivyo...
  15. Mgodo visa

    Ni kitu/kifaa gani kitanisaidia kuepuka madhara ya Moto katika Kifua changu..?

    Habari za mchana wana JF wenzangu, poleni na Majukumu ya kila leo. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Mimi ni mjasilia mali, ambaye ili kuyatimiza majukumu yangu (Kuchoma Chapati, pamoja na Biashara ya Chipsi) najikuta napata maumivu mara kwa mara katika Kifua changu, kwa sababu...
  16. Mgodo visa

    Hivi ni nani ananufaika na Mradi wa Samaki Yanga Afrika...!!

    Rejea kichwa cha habari hapo juu... Kila mwaka nipitapo maeneo ilipo klabu hii kongwe Yanga Afrika, nakuta bwawa la samaki pembeni ya Jengo la Klabu hiyo...!! Naomba kujua ni aina gani ya Samaki huzalishwa hapo. Pia, ni nani mnufaika mkubwa wa Mradi huo. Na mwisho, je..Serikali yetu inalipwa...
  17. Mgodo visa

    Kuna tatizo gani juu ya hizi Couple..

    1: Smart911 vs Mahounda 2: The Bold vs Niffah 3: 4: 5: Na ni kama wameweka Mgomo baridi...!
  18. Mgodo visa

    Tatizo la vyombo vya habari katika matumizi ya Kiswahili

    Nilikuwa natazama taarifa ya habari kupitia station (kituo) cha Runinga cha televisheni yaTabibu, walikuwa wanazungumzia taarifa za michezo wakati huohuo wakipitisha matangazo ya chini Runinga.... Nilikutana na taarifa hii... Dalili za Argentina kufuzu kombe la Dunia ziko wazi baada ya kutoa...
  19. Mgodo visa

    Ni hali gani hutokea Mwezi kuwa Nusu/Kipande..!?

    Habari za jioni wana JF wote, poleni na pongezi pia kwa kuitumia weekend vizuri...!! Kama kichwa cha habari kilivyo...! Naomba kufahamu, ni kipi...!! Au ni Mazingira gani huufanya Mwezi kuwa Nusu au Kipande...!!? Naomba mwenye/wenye ujuzi na Elimu ya mambo ya anga/sayari wanijuze. Natanguliza...
  20. Mgodo visa

    Nifanyeje kuepuka huu weupe wa Air condition (AC)

    Habarini za mchana wana JF, wajuzi katika jukwaa la JF Doctor. Nimekuwa muathirika na huu mfumo wa hewa ya kutengenezwa.... Nilikuwa na weusi ambao kwa namna moja nilijivunia pamoja na kuwavutia warembo. Nowdays nimekuwa na weupe kama mtoto wa Mama au wale wavulana wanaohisiwa ama kutambulika...
Back
Top Bottom