Ni hali gani hutokea Mwezi kuwa Nusu/Kipande..!?

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,567
3,574
Habari za jioni wana JF wote, poleni na pongezi pia kwa kuitumia weekend vizuri...!!

Kama kichwa cha habari kilivyo...!
Naomba kufahamu, ni kipi...!! Au ni Mazingira gani huufanya Mwezi kuwa Nusu au Kipande...!!?

Naomba mwenye/wenye ujuzi na Elimu ya mambo ya anga/sayari wanijuze.

Natanguliza shukurani kwenu...!!

d4bedde4ff168ede75abdc5b577c9558.jpg
 
Back
Top Bottom