Search results

  1. Deo Shy

    Mwenyekiti UVCCM Taifa, Kheri James ateua wajumbe 6 kuhakiki mali za UVCCM

    "Tunawashukuru Waandishi wa Habari kuwa bega kwa bega na UVCCM nyakati zote na hata wakati wa Mkutano Mkuu mlihakikisha taarifa zinafika kwa Wanachama, wapenzi, Watanzania na Dunia kwa ujumla." - Shaka "Moja ya ajenda kuu aliyoanza nayo ni ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Kheri James ni kuhakikisha...
  2. Deo Shy

    Viongozi wa UVCCM Taifa; Sadifa & Shaka wachapana ngumu Kikaoni

    Katika kikao chao walichokaa viongozi hao wawili wamechapana ngumi chanzo kikielezwa kuwa kila moja anataka wagombea wake wapewe alama nzuri ikiwa ni maandalizi ya kikao cha sekretariate ya chama kinachotarajiwa kuketi mapema wiki ijayo.. Shaka kama kaimu katibu Mkuu atawakilisha jumuiya katika...
  3. Deo Shy

    Jumuiya ya Vijana CCM (UVCCM) iko wapi?, walahi marekebisho makubwa ni ya lazima

    Mwezi wa December Jumuiya ya Vijana CCM (UVCCM) watakuwa katika mchakato wa kuchagua viongozi wa juu wa Taifa. Chonde chonde vijana hiyo ni nafasi nyingine adimu ya kuirudisha jumuiya katika uimara wake kama ilivyokuwa enzi za Sukwa Sukwa, Guninita ama Nchimbi. UVCCM kwa sasa haina dira...
  4. Deo Shy

    Uchaguzi UVCCM; Rushwa nje nje, Sadifa atuhumiwa kupokea kutoka kwa Ayoub Tesha na Mwakibinga

    Kweli kumaliza rushwa ndani ya CCM ni kazi. Rais Magufuli anapigana na hili dudu la rushwa ila bado anakwamishwa na baadhi wa wanachama wa CCM hasa vijana. Tarehe 14.07.2017 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mh. Sadifa Sadifa alipokea rushwa ya kiasi cha shillingi millioni 4.2 kutoka kwa moja wa...
  5. Deo Shy

    Kwa hii CHADEMA/UKAWA ya sasa Prof. Lipumba, Dr. Slaa naomba mtusamehe, 2015 Tuliwakosea sana

    2015 baada ya Dr. Slaa na Prof. Lipumba kutoka katika muungano wa UKAWA na vyeo walivyokuwa navyo ndani ya CHADEMA na CUF wananchi wengi waliwananga (mimi nikiwa moja wao), na kuona ya kwamba hawataki kuleta mabadiliko, kwamba wao ndio kizingiti katika kuleta mabadiliko.. Baada ya miaka miwili...
  6. Deo Shy

    Nina Masters ya Development Management, uzoefu wa Monitoring and Evaluation, natafuta Internship

    Wakuu Salama!... Mimi ni kijana wa miaka 29. Nina Masters degree na uzoefu wa miaka 4 katika Monitoring and Evaluation. Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira, kupungua kwa kazi za consultancy, hali ya biashara kuwa ngumu mitaani, natumia fursa hii kuomba Internship katika mambo ya Monitoring &...
  7. Deo Shy

    Kada mtiifu wa CCM na member wa JF, Chriss Lukosi asoma namba

    Shikamoo TRA Dar airport Mzigo wa kilo 600 unalipishwa ushuru wa 17,000,000 na storage 5,200,000 jumla kamzigo haka ka kilo 600 ambazo ni vitu vya watu binafsi na tu biashara tudogo tu Sawa tumewalipa , lakini hii nidhamu yenu ya woga itasababisha biashara nyingi sana kufa Mimi kua mfanya...
  8. Deo Shy

    Natafuta wadada wawili wa kazi, kuhudumia Bar

    Wakuu salama. Natafuta wadada wawili wa kuhudumu katika bar yangu iliyopo Tegeta, Nyaisozi. Sifa ~Awe mchapakazi ~Awe na mvuto ~Ajue hesabu za MAGAZIJUTO ~Mtanashati NB: Ni Bar mpya, wateja ni wengi, na pia Tip zitakuwepo za kutosha.. Any interested girl come inbox!
  9. Deo Shy

    Uchaguzi Wabunge Afrika Mashariki (CCM), Rais Magufuli kweli ni Baba wa Demokrasia

    Jana wajumbe wa sekretariate walivujisha majina 18 ya walioteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Afrika Mashariki hata kabla ya usahili kufanyika. Kilikuwa kitendo cha kihuni, cha kufedhehesha na cha kutumia jina la Rais vibaya, eti hao 18 ndio Rais anawataka.. Leo asubui baada ya malalamiko hayo...
  10. Deo Shy

    Rais Magufuli ingilia mchakato wa ubunge Afrika Mashariki, Majina yavuja hata kabla ya usahili

    Hii nalo ni kituko cha dunia. Majina ya wagombea ubunge afrika mashariki jana yamevujishwa na sekretariate inayoket leo kwa ajili ya kufanya usahili kwa wagombea wote 425. Majina yalivujishwa jana yamepunguzwa kutoka 425 mpaka 18. Hili linatendeka wakati leo tarehe 28.03.2017 ndio siku ya...
  11. Deo Shy

    Bashe kuongea na vyombo vya Habari, ni kueleza ukweli na kukanusha upotoshaji unaoendelea

    Salaam Wana Samunge worry not guys am ok nitaongea na kueleza kilichotokea na ukweli soon but sijafukuzwa wala kujadiliwa. Mh. Hussein Bashe (Mb).
  12. Deo Shy

    Mbunge Upendo Peneza kuwalipia wanawake wa Geita Mjini Bima ya Afya, ni katika siku ya wanawake

    Akiwa mgeni rasmi katika siku ya wanawake duniani (8.03.2017) mkoani Geita Mbunge wa viti maalum wa mkoa wa Geita kupitia CHADEMA Mh. Upendo Furaha Peneza amewapa zawadi wanawake zaidi ya 200 waliojitokeza kuadhimisha siku ya wanawake Mh. Upendo Peneza amejitolea kuwalipia wanawake hao bima ya...
Back
Top Bottom