Viongozi wa UVCCM Taifa; Sadifa & Shaka wachapana ngumu Kikaoni

Deo Shy

Member
Oct 18, 2016
98
300
Katika kikao chao walichokaa viongozi hao wawili wamechapana ngumi chanzo kikielezwa kuwa kila moja anataka wagombea wake wapewe alama nzuri ikiwa ni maandalizi ya kikao cha sekretariate ya chama kinachotarajiwa kuketi mapema wiki ijayo..

Shaka kama kaimu katibu Mkuu atawakilisha jumuiya katika sekretariate maalum. Hivyo alilazimishwa na Sadifa kuwa lazima wagombea wake wawe na alama nzuri zaidi, Shaka alipinga hatua hiyo kisha akawapa watu wake mwenyewe alama nzuri. Kitendo kilichozua taharuki na kuanza kuchapana ngumi.

Kelele zilikuwa nyingi sana mpaka ofisi nzima kujawa na taharuki...

Baada ya kikao cha sekretariate maalum majina yatapelekwa Kamati Kuu ya Chama kwa mchujo wa mwisho. Kamati Kuu inatarajiwa kukaa kati ya tarehe 18/19 mwezi huu mara baada ya Rais kumaliza ziara ya Uganda..

Watu ambao Sadifa alitaka wapewe alama nzuri ni..
1. Ayoub Tesha
2. James Mwakibinga
3. Mathias Kipara
4. Kheri James
5. Abdul Van Mohamed

Watu wa Shaka ni....
1. Suleiman Serera
2. Amon Nkulu
3. Sophia Kizigo
4. Msanii Tesha
5. Giallian Terry
 
Mleta uzi acha mzaha Sadifa na Shaka wana " ulijali" wa kupigana ngumi kweli?!!!........ Au wamesutana baada ya kutoelewana!!!
 
Katika kikao chao walichokaa viongozi hao wawili wamechapana ngumi chanzo kikielezwa kuwa kila moja anataka wagombea wake wapewe alama nzuri ikiwa ni maandalizi ya kikao cha sekretariate ya chama kinachotarajiwa kuketi mapema wiki ijayo..

Shaka kama kaimu katibu Mkuu atawakilisha jumuiya katika sekretariate maalum. Hivyo alilazimishwa na Sadifa kuwa lazima wagombea wake wawe na alama nzuri zaidi, Shaka alipinga hatua hiyo kisha akawapa watu wake mwenyewe alama nzuri. Kitendo kilichozua taharuki na kuanza kuchapana ngumi.

Kelele zilikuwa nyingi sana mpaka ofisi nzima kujawa na taharuki...

Baada ya kikao cha sekretariate maalum majina yatapelekwa Kamati Kuu ya Chama kwa mchujo wa mwisho. Kamati Kuu inatarajiwa kukaa kati ya tarehe 18/19 mwezi huu mara baada ya Rais kumaliza ziara ya Uganda..

Watu ambao Sadifa alitaka wapewe alama nzuri ni..
1. Ayoub Tesha
2. James Mwakibinga
3. Mathias Kipara
4. Kheri James
5. Abdul Van Mohamed

Watu wa Shaka ni....
1. Suleiman Serera
2. Amon Nkulu
3. Sophia Kizigo
4. Msanii Tesha
5. Giallian Terry
Hizi sio zama za kikwete,Magufuli atafyeka majina yote hayo
 
Hawa watu wanasumbuka sana. Magufuli atakuja na majina mapya kabisa. Wasomi sana, na ikiwesekana waliotoka jeshini, polisi au vyombo vingine vya dola
 
Back
Top Bottom