Search results

  1. Gushleviv

    Onyo la Busara: Ukiwa na Mpenzi wako au mume au mke popote pale usivimbe au kujisifia na ukadharau watu. Ulipo tupo ulipo wapo

    Mwanaume aliekamilika anajisifu kwa kufanya mambo makubwa yenye tija mfano miradi endelevu ya maendeleo na siyo Kufanya Ngono hovyo na wanawake. Wewe na huyo mwenzio wote ni wapumbavu.
  2. Gushleviv

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Mkuu watz roho mbaya sanaa, mtu anaweza kukuzushia jambo wakati hata hakujui.
  3. Gushleviv

    Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Ndugu zangu na rafiki zangu wa ukweli ni watoto wangu, kidogoo na mama yao ila huyu naishi nae kwa machale. Wengine wote waliobaki sina time. Tunakutana kwenye matukuo tu yanayotukutanisha.
  4. Gushleviv

    Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

    Mfumo wa malipo na eneo la biashara vimemuharibia sana mwamba. Huwezi fanya biashara kwa mfumo wake alafu location Manzese🤣🤣
  5. Gushleviv

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    We jamaa wewe! Ebwana zile coin zetu ulizokuwa unasubiri sifuri zipungue tujenge ghorofa vepee??🤣🤣
  6. Gushleviv

    Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

    Poa Mkuu,asante kwa feedback
  7. Gushleviv

    Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

    Salaam Wadau, Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini? Cc: Chief-Mkwawa
  8. Gushleviv

    Philip Nele Nduguru: mchoraji katuni wa gazeti la Sani

    John Kaduma yupo??
  9. Gushleviv

    Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    m-yala Subaru, Range Rover, Landrover Discovery na BMW haya magari kama unanunua used hakikisha lisiwe limetembea zaidi ya Km 50,000 Kinyume na hapo utakuja kuliuza bei ya hasara mno. Kama hujanielewa vizuri DM ipo karibu kwa ushauri zaidi.
  10. Gushleviv

    Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    Kama ni gari yako ya kwanza na huna kipato cha uhakika nakushauri achana na hili gari.
  11. Gushleviv

    JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

    Mbali ya hiyo namba yenu ya simu, je mna ofisi hapa Dar na ipo wapi?
  12. Gushleviv

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Nakubaliana pia na mawazo yako, kwamba asianze kitu kipya kwa sasa..Muhimu usimamizi mzuri tu wa hizo fedha.
  13. Gushleviv

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Sasa ni mida muafaka Financial Literacy ianze kufundishwa mashuleni..Yaani babakako miaka yote hiyo alikuwa anakaa ofisini sasa kazeeka ndio mnataka muanze kufanya biashara? Wewe ni mfanya biashara au umewahi kufanya biashara yoyote ile? Ninachoweza kukushuri ni hiki, kama alishajenga nyumba na...
  14. Gushleviv

    Aua Mke na Mkwe wake

    Wazazi haswa Kinamama waache kuingilia ndoa za watoto wao.
Back
Top Bottom