Search results

  1. P

    Nimeridhishwa na Ving'amuzi vya "EASY TV"

    Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[Tz]zote. Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza vocha zao. Nimehamia kigamboni hakuna mawakala kabisa. Nawashauri uongozi kama wanapita huku wasambaze...
  2. P

    Chadema bado wachanga-kisiasa

    CDM wameingia muafaka na CCM, Ni muafaka wa kwanza kabisa duniani usio na mazungumzo ya pande mbili zinazovutana. Kwa hili inatuonyesha ni jinsi gani chama hiki kimewasahau wahanga wal6waga damu yao wakidhani wanapigania umma kumbe ni njaa inawasumbua. Hongeren CUF mliweza kuwa wavumilivu...
  3. P

    Mchungaji akutwa na kilo 81 za Cocaine

    Makanisa ni vichaka vya wahalifu., Mbona hata DECI ilikuwa miradi ya makanisa iliyowaibia waumini. Ukiristo upo mashakani leo kwani wenyemacho washajua hii ni biashara ya asubuhi. Bwana asifiwe.
  4. P

    Mambo haya uswahilini yanakera

    Mswaki ni uchafu., mwingine utakuta anapiga mswaki au kaweka mswaki mdomoni huku anapika chai jikoni nk yaäni kichefuchefu tupu.
  5. P

    Maandamano ya kupinga Wamarekani kuishambulia Libya (Picha)

    WEWE HUNA AKILI itabidi nikugharamie uende loliondo upate kikombe upate afya ya akili yako. Nani kakuambia walibya hawamtaki Gadafi. Wasiomtaka ni wahuni wachache wanarubuniwa na mataifa ya kigeni.
  6. P

    Gaddafi makes bizarre TV appearance!

    Mie nilikuwa huko for 2yrs. Msidanganywe na propoganda chafu. Libya wana hali nzuri mara 100 zaidi yetu.
  7. P

    Mabomu yarindima arusha

    Askari wetu, bado wapo kisiasa. Wamevaa magwanda na mifukoni wana kadi za CCM.
Back
Top Bottom