Kuna tabia imekuwepo kwa miongo kadhaa, pengine hata karne sasa
Nasema karne, japo ki umri ndio kwanza nipo theluthi moja ya karne
Ila nafahamu Tabia za mwanadamu hazibadiliki ingawa mazingira pekee ndio hubadilika
Juhudi chanya ndizo nilizokusudia hapa
Mnamo mwaka 2001 huko malawi, mvulana 1...
Hp notebook
Ram-4GB
Hard Drive_500Gb
Display-1366*768
Batter life-11Hrs
Batter type-Replaceable
Bei - 350K
Haina damage yyte, imetumika 5 months
Shortly ni km mpya tu
Namba-0764 372652/0626 579795
Kama kuna kiwanja kinapatikana maeneo ya Mwanza mjini/karibu na mjini, kiwe kipo sehemu nzuri.
Contact namba hizi:
0764 372 652
0738 661 897
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema wana JF!
Natafakari ikiwa mtaji wa Milioni moja waweza tosha kwa kuanzia biashara ya ufugaji,km yupo mwenye experience zaidi na biashara hii anisaidie kufunguka zaidi ili nijue hii industry ina ugumu zaidi wapi, na makadirio ya chini ya kuanzia inagharimu zaidi ya hapo?
Shukrani
Sent...
Salama jamani?
Kuna ndugu yangu ana tatizo la kutokwa damu puani na hali hii huambatana na maumivu ya kichwa. Hivyo naomba kama kuna yeyote anayefahamu dawa ya hali hii asisite kunijuza/kutujuza hapa(Na kwa faida ya wengine pia)
Iwe ni dawa ya kienyeji ama ya hospitali tutashukuru
Akhsanteni
wamekufa kuku 2,na sijajua haswa niwapatie Dawa ipi kwakua sijajua ugonjwa wake
DALILI
Wanakunya kinyesi cha kijani+cheupe
wanasinzia sinzia
Wanatoa udenDa
Tafadhali kwa mtu anayefahamu ni ugonjwa gani anitaarifu na ni Dawa ipi ya kuwapatia
Akhsanteni
Ktk album ya Jigga 4:44 kuna hii ngoma na jina LA ngoma tu lilivyo nilihisi ni story ya MTU kwa hilo jina so nikaipakua kusikiliza nini haswa kimezungumziwa,Na kwa asilimia kubwa haikuwa km nlivyofikiri awali,Na niliona nimtafute hyu O J mtandaoni nisome wasifu wake
Nimesoma japo kikubwa kuhusu...
Aina-Kenwood
Ukubwa (Ujazo)-1500ml
Imeshatumika mwezi 1
UBoRA-100%
#UBORA100%
Mawasiliano-0673462218
Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Nimepata kigugumizi ktk hili nisijue kipi cha kufanya, Hivyo nikaona nisogeze hii kitu Hapa walau mnifungue kiakili/kimitizamo zaiDi
Ni kwanini kitu ulichopatiwa kama zawaDi na Mzazi, rafiki, nDugu, Ofisi, taasisi n.k si Vizuri nawe kukitoa kwa mtu Mwingine iwe kililetwa katika Upya wake ama...
Ni sababu zipi hasa zinazopelekea watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao(NJITI) kuwa salama zaidi wakiwa na miezi Saba,tofauti na atakayetokea kuzaliwa akiwa miezi Nane?
MSaada wakuu taadhali
Aina ya wanyama km Chui,Paka,kalunguyeye au wadudu km mende n.k wana uwezo mkubwa wa kuona wakati wa usiku..
Binadamu uwezo wake wa kuona sawia ni wakati kuna Mwanga(Mchana au Usiku)
HIVYO;**
Ukimuweka binadamu ktk Giza totoro hawezi kuona,Ukimuweka kalunguyeye(Jamii ya Nungunungu) ktk Giza...
Adam&Eve..
Wanadamu wa kwanza kutia nyayo zao ktk uso wa Dunia na kutengeneza vizazi na Vizazi kutoka nyakati ambazo ni ngumu Hata kujua ilikua ni mwaka gani!
Bado ni ngumu hata ukiweka katika makadirio, na utajua ni ngumu zaidi kama ukitaka kufahamu juu ya MFUATANO WA VIZAZI KATIKA UKOO...
Uwezo wa Ubongo wa Binadamu katika kuhifadhi kumbukumbu ukubwa wake ni 2.5 pentabytes
UKUBWA HUU NI SAWA na KUREKODI VIPINDI VYA TELEVISHENI KWA ZAIDI YA MIAKA 300, hapa namaanisha ni sawa na wewe leo uanze kurekodi vipindi vyote vya East Africa television kwa muda usiopungua miaka 300 ndipo...
Umuhimu wa michezo kwa miaka mingi umekua ukihusishwa na faida za kiafya, kujipatia kipato, kutambulika mahala tofauti Duniani na hata sifa nzuri kwa Taifa.
Kwa hapa kwetu Tanzania kwa miongo mingi sana Michezo imekua na umuhimu wa kipekee kwa upana wake hasa hasa kwa Taifa na wanamichezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.