The story of O J

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
522
338
Ktk album ya Jigga 4:44 kuna hii ngoma na jina LA ngoma tu lilivyo nilihisi ni story ya MTU kwa hilo jina so nikaipakua kusikiliza nini haswa kimezungumziwa,Na kwa asilimia kubwa haikuwa km nlivyofikiri awali,Na niliona nimtafute hyu O J mtandaoni nisome wasifu wake
Nimesoma japo kikubwa kuhusu huyu jamaa ni kwamba ni mchezaji wa mpira wa kikapu ktk ligi ya NBA na alijihusisha na matumizi ya Dawa za kuongeza nguvu ambazo zimepigwa marufuku,na aliadhibiwa ikiwa ni pamoja na kusimamishwa michezo kadhaa..
Hii issue ilijirudia tena,na kuna masuala mengine pia yalijitokeza ya yy kwenda kinyume na mkataba
So akawa Dismissed ktk ligi hyo..

Lengo la Uzi huu ni kujuzwa zaidi na wana JF kipi haswa cha ziaDa kilimsukuma Jay z auite wimbo huo "The story of O J" na km kuna mengine ya nyuma ya pazia ya kumhusu Bwana O J mayo
Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom