Ubongo wako

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
522
338
Uwezo wa Ubongo wa Binadamu katika kuhifadhi kumbukumbu ukubwa wake ni 2.5 pentabytes
UKUBWA HUU NI SAWA na KUREKODI VIPINDI VYA TELEVISHENI KWA ZAIDI YA MIAKA 300, hapa namaanisha ni sawa na wewe leo uanze kurekodi vipindi vyote vya East Africa television kwa muda usiopungua miaka 300 ndipo ufikie ukubwa huo wa 2.5 Pentabytes uliopo katika ubongo wa mwanadamu.

Swali ni kwamba:-
UNAUTUMIAJE UBONGO WAKO,LICHA YA KUWA NA UWEZO WOTE HUU??
 
alafu usikute unauwezo wa kusahau 2.4 pentabytes

Sio kwamba unasahau, ila ni kwamba unakumbuka vitu vya karibu kuliko vile vya mwanzo. Ila vile vya mwanzo vinazidi kuwepo ilauwezo wa kukumbuka huna.
 
Itabaki 0.1 pentabytes,sawa na kurekodi vipindi vya television kwa 12 years......kama tukianzia tangu mtoto anazaliwa hadi umri huu ,ni hatua ya karibu na balehe.Hapa ndo utakuta mtoto kawa wa "hovyo kabisa"
 
mpaka umekuja na hizi findings maana yake umefanya utafiti kwamba kuna mtu amerekodi vipindi miaka 300
 
Back
Top Bottom