Search results

  1. sulejman

    Msaada wa usafiri kwenda Lindi

    Habari za mchana. Natumaini mko na afya njema. Nahitaji kujua napata wapi usafiri (basi) wa kwenda Lindi kutokea Dar es Salaam, najua humu kuna watu wengi na wenye maarifa mengi hivyo nimeona niwashirikishe kwa faida yangu na wengine. NB: Nikipata taarifa kampuni gani iko vizur na bei zake...
  2. sulejman

    JamiiForums Usiku wa manane

    0328
  3. sulejman

    Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

    Ndio shida ya watoto wanaojifunza mapenzi
  4. sulejman

    Nyumba ya Manispaa ya Temeke yauzwa kinyemela. Mpangaji aendesha biashara ya Ufugaji Mbwa na Paka zaidi ya 300

    Before nyumba zote hizo zilikuwa chini ya halmashauri ya jiji ndipo zilipogawanywa kwa kila halmashauri kupewa nyumba zake. Ndio maana temeke anamiliki nyumba ambazo zipo ndani ya halmashaur ya kinondoni
  5. sulejman

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Kuna siku nilikuwa naangalia mpira zaman kidogo (sijui ilikuwa ligi gani) kuna mchezaji akawa na hilo jina... Na kwa kuwa linaendana na jina langu halisi nikalipenda kulitumia kama nickname
  6. sulejman

    Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    alotengeneza hii site ni jibu link zooote zipo open kabisaa
  7. sulejman

    Msaada ku-root android 6

    Tecno W3 is one of Tecno’s latest phones. This phone runs on Android 6 (Marshmallow), making it not fully supported by rooting apks at the moment. This brief guide will explain how to flash TWRP and root the Tecno W3. You can view the Specs of the Tecno W3 at Tecno W3 Specifications How do I...
  8. sulejman

    Walimu waliotoa kipigo Mbeya, waonewa huruma na wizara

    serikali inatakiwa iache kutoa maamuzi ya mihemko....
  9. sulejman

    Walimu waliotoa kipigo Mbeya, waonewa huruma na wizara

    sasa ile mikopo yao itarudishwa au
  10. sulejman

    Familia ya JF naomba msaada kuhusu chuo cha NIT

    anaetaka kujua amechaguliwa wapi piteni humo uangalieTCU CAS | View Provisional Results
  11. sulejman

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    funga safar uwafuate kwao
  12. sulejman

    First year UDOM wanaanza kuripot tarehe ngapi?

    Badilisha browser. Tumia google chrome au firefox
  13. sulejman

    First year UDOM wanaanza kuripot tarehe ngapi?

    Ingia hapo tayar inafunguaka
  14. sulejman

    IFM wametoa second round?

    Ifm second round bado but wametoa majina ya campus ya mwanza
  15. sulejman

    Nimerudi Vodacom yenye Ubora Mara baada ya Kudanganywa na Halotel

    Vodacom kwa internet wako vizur... Lakini lazima mpunga uwe nao
  16. sulejman

    Msaada: wrong pattern

    Rebooting haiondoni pattern
Back
Top Bottom