Search results

  1. Runner

    Naomba msaada kwenye hili jambo

    Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio sana kiasi kwamba nakosa raha,je hii husababishwa na nini au ni tatizo gani?naomba wenye ufahamu juu ya...
  2. Runner

    Kwa nini wanandoa wengi wanasaliti ndoa zao?

    Habari wapendwa wana JF,kwa kweli nimekaa nikafikiria na kujiuliza sana juu ya hili swala "kwa wanandoa wengi siku hizi wanasaliti ndoa zao?"....Katika watu nilioongea nao asilimia kubwa wanakwambia "nna dada mmoja natembea nae,ila ni mke wa mtu au nna kijana wangu anaemsaidia mzee shughuli...
  3. Runner

    Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

    Habari wana JF,kuna jambo ambalo kwangu mm linanitatiza kidogo,utakuta kwamba mwanamke ameolewa hali akiwa tayari alishakuwa na mtoto na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa,jamaa aliyemuoa alikubali kumlea mtoto katika hali yoyote ile,ila walikubaliana tu kwamba school fees baba mwenye mtoto ndio...
  4. Runner

    Kulala mchana

    Habari wana JF,Wapendwa naomba msaada wenu kwenye hili tatizo linalonitatiza,imekuwa ni wiki sasa huwa napatwa na usingizi mzito sana ifikapo saa nne asubuhi,yaani iwe nimewahi kulala usiku au nimechelewa lakini ikifika muda huo kwa kweli huwa napata shida sana hata kufanyakazi,na si saa nne tu...
  5. Runner

    Kwa nn baadhi ya wanawake wakipata pesa zaidi ya mumewe..........

    Habari wapendwa wa JF, nimekaa nikafikiria sana hili swala nikaona bora niliweke jamvini tupeane mchango. Unakuta umeoa na mwanamke alikuwa anakutegemea kwa kila kitu ingawa kuwa nae anafanyaka kazi, mmeendelea na maisha ya kila siku lakini ikaja ikatokea kuwa mwanamke akapata mkopo ofisini kwao...
  6. Runner

    Sex ni suluhisho la ugomvi (misunderstanding)?

    Habari,naomba kupata ufafanuzi juu ya hili jambo,katika mahusiano ya kimapenzi ikatokea kukawa na kutoelewana kwa jambo fulani baina ya wapendanao (wana ndoa nk),je sex ni njia mojawapo ya kuondoa ile misunderstanding?.....Je hali ya kutokuelewana itatoweka baada ya kufanya sex?.Katika...
  7. Runner

    Kuongea usingizini

    Habari wana JF,mimi napenda kufahamu;Ni nini sababu inayomfanya mtu kuongea akiwa usingizini (ANAOTA ANAONGEA KWA SAUTI),na hii huwa ni tatizo au ugonjwa?Na je linaweza kuepukika?Naomba msaada kwenye hili.
  8. Runner

    Hii imekaaje...?

    Wapendwa wana JF naomba kupata ufafanuzi juu ya swali langu hili,"Katika kufanya mapenzi kuna wanaume wengine huwa wakishafika kileleni mara moja hawawezi kurudia tena mara ya pili mpaka labda mpaka baada ya muda,kama kesho yake au hata baada ya masaa kadhaa,"Je hii huwa ni tatizo la kukosa...
  9. Runner

    Hii ni sawa...?

    Mkeo umemuoa akiwa tayari ana mtoto,na ukakubali kumuhudumia mtoto kwa mahitaji yake yote,lakini inakuja kwamba bado anawasiliana mara kwa mara na mwanaume aliyezaa nae kwa namba nyingine tofauti,na ikitokea umesika anaongea anakwambia naongea na rafiki yangu,ukummbana sana anakwambia nilikuwa...
Back
Top Bottom