Hii imekaaje...?

Runner

Member
Feb 7, 2011
85
13
Wapendwa wana JF naomba kupata ufafanuzi juu ya swali langu hili,"Katika kufanya mapenzi kuna wanaume wengine huwa wakishafika kileleni mara moja hawawezi kurudia tena mara ya pili mpaka labda mpaka baada ya muda,kama kesho yake au hata baada ya masaa kadhaa,"Je hii huwa ni tatizo la kukosa nguvu za kiume au ni kawaida?Naomba msaada kwenye hili
 
Ina majibu mengi,kila mwanaume ana maumbile yake na uwezo wake,lakini kwa uchache inategemea=umri,vyakula,hali ya hewa,mazoea,mtu unayekutana naye ,usafi,mahala penyewe(mazingira)uzoefu,uchakavu,vikolezo,ufundi,kujituma na urithi,magonjwa,.kwa ujumla hakuna fomula ila ni kawaida kutokana na umri au mazoea kuja haraka mara moja na baada ya saa kadhaa kutokana na hali halisia na uwezo wa mwili na akili inavyokutuma /kukubaliana na hali
 
Back
Top Bottom