Search results

  1. MWANDAMBO

    Mwigulu anapaswa kuondolewa kwenye Uwaziri

    Moja ya Tatizo kubwa la nchi yetu, ni kuwa na watawala au viongozi kwenye Serikali ambao hawana misimamo ya kisera, Itikadi na falsafa. Na kwasababu hata chama Tawala chenyewe kimeshapoteza dira yake katika misingi ya itikadi yake. Chama cha CCM hakitendi au kuenenda sawasawa na itikadi ya chama...
  2. MWANDAMBO

    Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
  3. MWANDAMBO

    Maudhui ya jumla na athari za sheria mpya ya TISS

    Sheria ya Usalama wa Taifa (TISS) iliyopitishwa na Bunge la Tanzania. 1. Sheria hii imewapa Kinga (Immunity) maafisa wa Usalama wa Taifa dhidi ya makosa ya Jinai kutokana na majukumu yao. Masharti haya mapya ni tofauti na masharti ya sheria hii kabla ya mabadiliko haya, ambapo maafisa wa...
  4. MWANDAMBO

    Undumilakuwili wa Zitto Kabwe

    Wakati Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar kikijipambanua kupitia sakata la Bandari kumtetea Rais Samia kwa misingi ya Uzanzibari, Kiongozi wa chama hicho Ndugu Zitto ametumia mwanya huo wa kimsimamo kutetea Mradi wa DP World wa Bandari za Tanganyika chini ya kivuli cha Faida za bandari na mtazamo...
  5. MWANDAMBO

    Mwingira, frenandes, lusekero, kakobe, lwakatare !!!!!

    tatizo tulilo nalo sisi watanzania hatutaki hata kujiuliza maswali yale ya kawaida sana na ndo maanatumekuwa tukifeli sana somo la hesabu hivyo basi kama mwanafunzi mzuri wa biblia utajua kwamba swalala kuwepo mitume tena wengi zaidi sana nyakati hizi za mwisho ni kibiblia kabisa nikwakutokjua...
  6. MWANDAMBO

    Rostam awaparamia CHADEMA

    Sura imekushuka mwenyewe bila hata haya wamtetea huyo popo mweupe unataka umdanganye nani leo kwamba ra ni mtu na wala si mindred
  7. MWANDAMBO

    Rostam awaparamia CHADEMA

    WANAJF ACHANENI NA HUYU MPUMBAVU NA MJINGA WA KWANZA LA MSINGI THREAD YA MAANDAMANO YA KIMAPINDUZZ IKO WAPI AM ONLY FOR WAR AGAINST HAYA MAFISADI YA KIROHO CHADEMA SONGA MBELE:lol::spider:
  8. MWANDAMBO

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Wa kuacha kuropoka ni pinda mwenyewe haswa ukizingatia ameshakuwa mzee asije akazeeka kama makamba kwani sio tuamekuwa mropokaji bali ni mtukanaji
  9. MWANDAMBO

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Kazi ilomshinda pinda mwenyewe kwa kumsafisha mkwere wewe waja leo huelewi huelewi nini fisadi we unazugisha mauwaji pinda is guilt mwongo tu
  10. MWANDAMBO

    Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    Ivi wewe amani unafki umelogwa au una magonjwa ya akili nafikili ni heshima kubwa kwako kujiuzulu humu kwenye jamii
  11. MWANDAMBO

    Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    Tena akome sio kidogo sana mgiligashi mkubwa huyo anamsaidia kazi shetani
  12. MWANDAMBO

    Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    :A S 20:Jiuzulu mwenyewe kwenye hii forum wewe ulo pungukiwa na upeo wa kufikili na hila zako binafsi kisha uanze kumshauli jk aondeke kwanza kabla hayajamkuta ya muubarak fisadi mtoto we koma kabisa kusema jasili mwelevu na shujaa .mungu ata waonyesha mwaka huu
  13. MWANDAMBO

    Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    Jiuzulu mwenyewe kwenye hii forum wewe ulo pungukiwa na upeo wa kufikili na hila zako binafsi kisha uanze kumshauli jk aondeke kwanza kabla hayajamkuta ya muubarak fisadi mtoto we koma kabisa kusema jasili mwelevu na shujaa .mungu ata waonyesha mwaka huu
  14. MWANDAMBO

    Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

    MRADI HUO AMBAO ULILETA MAUSIANO MABOVU KATI YA KANISA LA KAKOBE NA SE LIKALI KUNA TETESI[ RA] NDIO ALIEPEWA HIYO TENDA NA ZAIDI YA BILION 66 ZIMETUMIKA NA MPAKA SASA UMEGOMA KUWAKA KIASI KUSHINDWA KUUZINDUA NA KWA KUPOTEZA LENGO WAMEONGANISHA UMEME KUTOKA MOROKO KWA AJILI YA KITUO HICHO JAPO...
  15. MWANDAMBO

    Hivi JK unajua nini sasa?

    Dance tu na ufuska ndio ndio ana maalifa yakutosha ana kana hawajui dowans basi amkane na mkwewe na kimwana wake jk ni kama mbwa mwitu mwenye ngozi ya kondoo na hizo kauli zake awaambie wanachama wake wajinga na wapumbavu walio logwa :a s 20:
  16. MWANDAMBO

    Madai ya mgomo Chuo kikuu Dar hayana upeo mkubwa

    Sasa huu ufisadi wa jakaya na uu ubepari ndio wenye tija kwako na pili wewe umejisomesha elim yajuu au umetumwa kupunguza makali
  17. MWANDAMBO

    Madai ya mgomo Chuo kikuu Dar hayana upeo mkubwa

    WEWE UMELOGWA NA KAMA WEWE SIO BASI BABAKO NI FISADI AU BASI UME IKOSA ELIM YA CHUO KIKUU ELFU 5000 KWA MAITAJI YA LEO NI SAWA NA 0 HIVYO WANA MADAI YA MSINGI NA WADAI MPAKA KIELEWEKE:msela:
Back
Top Bottom