Search results

  1. nyantumba

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    kwa wanaohitaji rose water wanione, mikoani natuma
  2. nyantumba

    Nahisi nimekumbwa na jini mahaba

    Maombi ndio dawa. pole
  3. nyantumba

    Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

    hapo nilikuwa namfahamu 8. Robert Lengeju. RIP
  4. nyantumba

    TCRA CCC Mkowapi Tunaibiwa Bando za Internet?

    wakati voda mb 200 kwa 1000 masaa 24
  5. nyantumba

    Kampeni ya kuikataa Vodacom

    halafu kila mtu na menu yake, sijui wanatumia vigezo gani
  6. nyantumba

    Arusha halisi ilivyo na watu wake

    vunga hii ni CHUGA!!
  7. nyantumba

    Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    duh! sijui hata niseme nini, huyo mzee amelogwa tena sio na wachawi, kalogwa na shetani mwenyewe. pole sana ndugu yangu. Jenga nyumba sehemu nyingine uhamishe familia nzima muachieni huyo mzee na hiyo nyumba anayoona yake. Dunia itamfunza
  8. nyantumba

    Kuzuia watu kupiga picha maiti kumepitwa na wakati

    Kweli haina tija, maana kupiga picha na wale wanaopita kuaga live kuna tofauti gani?
  9. nyantumba

    Mliofiwa na mama zenu na nyie hili mlilipitia?

    kama wewe ni muumini wa kikristo fanya maombi kila siku, wakati unafanya maombi, tamka kwamba unakataa ndoto mbaya na unajitenga na roho zote za mauti, maana sasa hapo hiyo ni roho ya mauti inakuandama. tamka tu kila siku kwamba "najitenga na roho za mauti na ndoto za wafu" baada ya muda...
  10. nyantumba

    Mliofiwa na mama zenu na nyie hili mlilipitia?

    pole sana kwa msiba mkuu, hata hivyo spiritually sio vizuri kumuota mtu aliyekwisha tangulia mbele ya haki, tena mbaya zaidi unaongea nae. sio vizuri kwa hiyo tafuta spiritual help hasa maombi, jitenge na roho za mauti, maana hakuna ushirika tena baina ya wafu na walio hai. chukua hatua kabla...
  11. nyantumba

    Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

    nunua la 260, budget budget budget
  12. nyantumba

    Kusema kweli dunia ya sasa hivi mtu ukitaka kuoa, inakupasa ujitoe sana akili. Yaani uwe zuzu!

    anayepanua na anayepanuliwa wote mazuzu,sio kubase upande mmoja tu
  13. nyantumba

    Mkasa Wa Kweli: Mfu Aliyerudiwa Na Uhai

    hii story nilikuwa nafuatilia kwenye global pubishers tangu mwaka jana. haijaendeleaga ndio iliishia hapo hapo. kwa hyo poleni mnafuatilia
  14. nyantumba

    ‘Hustle’ yako ya kwanza ulilipwa Shilingi ngapi?

    ilikuwa elfu 50 na nilinunua simu
  15. nyantumba

    MFANYAKAZI ANAHITAJIKA

    Habari za asubuhi wakuu, natafuta mdada wa kazi za nyumbani, mkoa wa Arusha, awe mtu mzima kidogo anayejielewa na ajue kazi zote. nyumba ina watu 4 tu. baba na mama na mabinti wawili wa secondary. mshahara elfu 80 akionekana anajua zaidi itaongezeka Kadri muda unavyosonga. serious anione DM
  16. nyantumba

    Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    kuna dawa ya maumivu inaitwa Flamar ni kiboko, jino linatulia tulii utahisi tu jn linavibrate kwa mbali but hakuna maumivu
  17. nyantumba

    Msaada wa namna ya kuwatoa/kuwaondoka Mijusi ndani ya nyumba,na wasirudi tena.

    nikiona mjusi chooni naahirisha zoezi zima mpaka baadae au natafuta alternative, siingii
  18. nyantumba

    Msaada wa namna ya kuwatoa/kuwaondoka Mijusi ndani ya nyumba,na wasirudi tena.

    zinasaidia piga dawa nyingi ile rungu funga milango utakuta wamedondoka wote. yani hata mimi ndio mdudu namba 1 nisiyempenda jamani dah
Back
Top Bottom