Kusema kweli dunia ya sasa hivi mtu ukitaka kuoa, inakupasa ujitoe sana akili. Yaani uwe zuzu!

Hahaha,kwa jinsi ninavyowajua wake za watu wanavyopanua nje....hamu ya kuoa inachezea kwenye negative....NA UMRI WENYEWE NDIO HUO KILA SIKU KUULIZWA KINACHOKUNYIMA KUIA NI NINI.....ASALALEH!!!
 
Unalalama vibaya mkuu.

Unaonekana uliowa ambae sio fungu lako japo unatuficha.

Kama hupend hicho kitendo why, uwe wakwanza kufanya na mke wa mtu.
So, una support hizo mambo.

ALAFU TENA UNAPATA UJASILI WA KULALAMA.
Stupid
 
Ha Ha Ha Ha Ha Wela Wela Hadi Raha Na Sisi Atuachagi Tunakuraga Ha Ha Ha Ha Unakurupuka Kuowa Alafu Ujui Kumthamini Mkeo Unaorea Nyege Et Fulan Kaowa Namimi Niowe Kumbe Unawaorea Wahuni Lazima Tuware
 
ukiwa mdogo unafikiri ndoa ni tendo la ndoa hivyo ukisikia mke kaliwa unachanganikiwa! pole sana ndoa ni taasisi kubwa hivyo swala la mwanaume kutoka nje si swala la maana sana. ibrahimu hakuona hasara kama hata mkewe angechukuliwa na mfalme mwanzo 20:1-7.
hivyo swala la mke kutembea mke ni dogo sana na ukitaka kufahamu vizuri jaribu kuangalia ni mara ngapi waume za watu wanatembea nje ya wake zao?
kisha njoo umuhukumu mke kwa kosa hilo na kikawa kigezo cha wewe kutokuoa na ukaamua kuwa mme wa wanawake wengi hii haikai sawa kama mwanaume uliyekamilika.
 
Hii point inatosha kufungia mjadala ....chanzo cha wabinti kutumika hovyo ni upuuzi unaofanywa na wanaume mtu anasema kabisa nipo na yule binti ila sina mpango wa kumuoa ....mwisho wa siku anamchapa matukio binti wa watu wanaachana ...binti kwa hasira anaamua kuwa kivuruge
Na sisi wanaume ndo chanzo, unamchezea msichana wawatu halafu unafika mda unamwacha, swali unamwachia nani aoe?
 
Binafsi lawama zote nawamwagia wanawake! Hebu fikiria, ukimfuata mwanamke na akakwmbia SIKUTAKI utajisikia tena kumtafuta? Ila sasa hivi ukimfuata mke Wa MTU, atakwbia eti NITAKUPA JIBU, jibu gani atakupa? Yeye anajua kabisa ni mke Wa mtu, Anaenda kufikiria jibu gani? si akwambie hapo hapo kuwa hakutaki? So sad kwa kweli ndoa za sasa hivi
Wewe unamfata wa Nini na unajua fika Ni mke wa mtu? Ukitaka kubadili Jambo Anza na Wewe mwenyewe!
 
Back
Top Bottom