Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,983
- 33,623
Kwa akili yako unafikiri nani anmuhitaji mwenzie kati ya voda na mtz?Unajua mgunduaji wa bulb alifanya majiribio mara ngapi mpaka kufanikiwa ? Sembuse huyo Lema na Mangi ambao wamejaribu mara moja tu. Siyo kila jaribio lazima lifanikiwe ka mara ya kwanza. Jielimishe mkuu usiwe kama watu wa lumumba