Fact
Toka nimeifahamu Mbeya miaka 25 sasa, sikukuu za 88 zina ushabiki mkubwa kuliko Eid zote, Krismas, na Pasaka yaani weka sikukuu zote unazojua hua haziifikii 88 kwa vibe.
Na hii ni kwa Mbeya tu ,
88 Mbeya kila mji hupikwa pilau, Nyama na Nyama choma, lodge zote hujaa, Watoto kwa watu...
Madhara ni makubwa,
Kwa mfano dollar moja ilikua 2300 lakini 2025 itakua imefika 3000 na zaidi, hii tu ni kuchezewa kwa uchumi wa nchi,
Magenge mengi ujue ndio yametamalaki na usimamizi hakuna si kuanzia taasisi za umma hadi zile binafsi,
Madhara yake ni mfumuko wa bei ya bidhaa mbalimbali na...
Vision of the Vision.
Mitazamo chanya juu ya Afrika.
Captein Ibrahim Traore Rais wa Burkinafaso au Bukinabe ni kiongozi ambae kajitofautisha sana na viongozi wa kiafrika ambao kazi yao kubwa ni kuzunguka na madege dunia nzima huku wakienda kuombomba fedha wakati kwao wameacha utajiri mkubwa...
Naona nisiongeze kitu, lakini hoja kubwa serikali ya Tanzania nchi nyingine magari ya miaka ya mbele yana kodi ndogo ili kuchagiza watu waendeshe magari mapya, kwa Tanzania gari chakavu ndio lina kodi ndogo yaani gari inayochafua mazingira ndio yenye kodi ndogo hapo ndio unawaza viongozi hua...
CCM ni kansa
Hivi mnatuona sisi ni wajinga au ikoje?
Unatoaje uhuru kwa mwekezaji wa maji yote ya bahari na maziwa makuu, ardhi yote, anga na maeneo anuwai ya kiuchumi na tena hautotakiwa kumuuliza chochote atakachotaka kufanya hutakiwi kuhoji na zaidi wewe uliyempa unatakiwa umsaidie yaani...
Kweli ya leo
Chadema wanapambana kwa kile walichojaaliwa kutetea rasilimali za nchi bila ubaguzi,
Vyama vingine mmejikausha kama vile hampo endeleeni kukaa kimya ukimya wenu ni jibu kwetu kua mtetezi halisi ni mmoja tu,
Kesho msipoungwa mkono wala kupata watu kwenye mikutano yenu mtaanza...
Watani wetu,
Wao kazi yao kama mashabiki hua wanaifahamu kila msimu,
Na majukumu ya mashabiki wa simba ni kama ifuatavyo,
1. Kuishangilia timu yao viwanja mbalimbali
2. Kujitahidi kumbembeleza tajiri asinune au asikate tamaa.
Kwa muda huu hamuwaoni hivo ndio wameshaenda kutekeleza jukumu...
Kuna watu wajinga haijawahi kutokea.
Dawa na mtu mjinga ni kumdharau tu maana mjinga hata ukimuelewesha hawezi kuelewa.
Kwa kifupi maji ya bahari kama ya hindi au ziwa kama Tanganyika, Nyasa, Victoria hiyo ni mipaka muhimu na mipaka ambayo hutakiwi kukosea kumpatia mtu aiendeshe kwa asilimia...
Lissu aheshimiwe.
Lissu mara zote amekuwa akiipigania Tanganyika irudi na tuwe na muundo mwingine wa muungano, lazima mawazo ya Lissu yaheshimiwe na Lissu kuipigania Tanganyika anawakilisha mawazo ya watu wengi wanaoona nchi yao kupotea kiajabuajabu.
Ni muhimu sana Tanganyika irudi ili tuweze...
Mazungumzo yangu na wale wakuu wazalendo.
Mazungumzo yalichukua muda wa masaa mawili na yaliisha kwa kunieleza kichwa cha habari kama kilivyo. Serikali ya Tanzania imeshasaini mkataba mama au mkataba mkuu, na kabla ya kusaini huo mkataba, DG mstaafu Diwani Athmani alitahadharisha sana juu ya...
Inaumiza sana,
Mataifa hayo yote tajwa hapo juu yaliishtaki kampuni ya DP world kwa mikataba ya kitapeli ambayo viongozi wao waliingia nayo kuendesha bandari zao
Tanganyika inakwama wapi kukubali mikataba mibovu ambayo mwisho wa siku nchi hizo zilijuta kuingia mikataba na hizo nchi?
Amkeni...
Inaumiza sana,
Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari.
Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
Simanzi, kilio
Ilibidi nitafute baadhi ya viongozi wa ngazi za juu serikalini na kwenye vyombo mbalimbali vinavyoihusu nchi,
Kwa sababu naheshimiana nao sana , kamwe sitowataja lakini wamenihakikishia kwa asilimia 100 % kua mkataba wa bandari ni utapeli mkubwa sana unaofanywa na watu wachache...
Elimu haina mwisho.
Wabunge wetu ni watu makini na kama walivyoenda kujifunza kule Dubai na wakaja kufanya maamuzi yenye maslahi kwenye uwekezaji wa bandari, tunawaomba wabunge wetu hata 100 wakiongozwa na spika waende na kile chombo cha Ocean Gate chini ya bahari ili walete mrejesho wa meli ya...
Ni Kweli?
Kuwa msimu wa mavuno huu wa 2023, utakuwa mbaya kwa wakulima wa tumbaku nchini kwani kuna upungufu wa dollar za kimarekani nchini Tanzania?
Taarifa hiyo inayozunguka ina ukakasi maana mkulima huyu kutokulipwa pesa yake italeta shida maana hatoweza kujiandaa na msimu mwingine wa...
Humphrey Polepole
Aliwahi kusema wakataeni wahuni kwa nguvu zote tena msiwape nafasi naona hamkuelewa,
Sasa wahuni ndio hao sasa wanafanya uhuni kila leo ndani ya nchi.
Ili kuiponya nchi ni kuwakataa hawa wahuni wa mikataba mibovu ya kikoloni na iliopitwa na wakati na haifai hata kidogo...
Wapingwe kwa nguvu zote,
Mikataba hii ni wajinga tu ndio wataikubali lakini watu weledi hawawezi kuikubali mikataba ya namna hiyo kamwe,
Kwa nguvu zote hoja tulishamaliza kutoa tena hoja za msingi kabisa,
Sasa ni muda wa kusimama na kuipinga serikali kwa ujumla wake.
Serikali hii imeshindwa...
Za kuambiwa changanya na zako
Mtu mzima unaambiwa DP world wakishika bandari ajira zitaongezeka maradufu na kua nyingi zaidi na zitafika hadi ajira 28000, hapo unapiga makofi na kushangilia.
Muda huo huo unaambiwa DP world wataleta mitambo kabambe na bandarini hata msichana mdogo atashusha...
Uwe Mkulima au Usiwe Mkulima.
Fahamu hapa kua lazima kama ni biashara ufuate utaratibu mahsusi ili ufanye biashara,
Haiwezekani malori yatoke Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya yaingie hadi mashambani, wanunue mazao yote halafu baadae vyakula vipande watu waanze kulia haiwezekani.
Hakuna usalama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.