Unagawaje mipaka ya nchi kisa uwekezaji wa kipumbavu? Kisa tu umeona mashine kwenye maonesho!

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Kuna watu wajinga haijawahi kutokea.
Dawa na mtu mjinga ni kumdharau tu maana mjinga hata ukimuelewesha hawezi kuelewa.
Kwa kifupi maji ya bahari kama ya hindi au ziwa kama Tanganyika, Nyasa, Victoria hiyo ni mipaka muhimu na mipaka ambayo hutakiwi kukosea kumpatia mtu aiendeshe kwa asilimia 100% kisa eti ufanisi!
Aibu hii ni kubwa sana watu weledi na waelewa wanajua kabisa huu uhuni wakishamba umefanywa na wajinga tu,
Yaani 100% ya control ya mipaka yako unagawa iwe controlled na mtu mwingine kisa uwekezaji ambao eti uliona kwenye maonesho mitambo na machine kwenye screen!
Fanyeni tafiti basi walikowekeza watu wenu ni wapi mlisikia walipata faida kama walivyoahidiwa zaidi ya kuishia kupelekana mahakamani na kuvunja mikataba?
Msitufanye sote wajinga kama ninyi bana, eleweni mipaka ya nchi lazima iwe controlled 100% na vyombo vyetu na sio kuwasimamisha askari wetu na uniform ambao hawana control kabisa hapana, ifikie hatua mia he utoto, maana tukiongea kwa lugha ya staha mnadivert mjadala mnakimbilia udini na ukanda nani kawaeleza tunatetea dini hapa?
Ni lazima mrekebishe huo utoto haraka sana ili mambo yatulie,
 
Back
Top Bottom