PolePole Alisema wakataeni Wahuni, hamkuelewa nadhani mnaona uhuni wenyewe sasa.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Humphrey Polepole
Aliwahi kusema wakataeni wahuni kwa nguvu zote tena msiwape nafasi naona hamkuelewa,
Sasa wahuni ndio hao sasa wanafanya uhuni kila leo ndani ya nchi.
Ili kuiponya nchi ni kuwakataa hawa wahuni wa mikataba mibovu ya kikoloni na iliopitwa na wakati na haifai hata kidogo.
Tuwakatae wahuni kila wakati iwe mchana au usiku lazima wahuni wakataliwe kabisa maana hawatufai kwa lolote,
Kwenye mikataba yao hakuna cha ajira wala ufanisi utakaopatikana, hoja zao ni nyepesi kama akili zao zilivo nyepesi,
Tuwakatae hawa wahuni waliokubuhu hawatufai kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom