Search results

  1. S

    Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!

    Nilihadhithiwa na Babu yangu. kwamba kuna zama za wapumbavu wajinga wafitini wanafiki mafisadi walarushwa wahujumu uchu na wauaji watekaji nawabakaji wademokrasia kuongaza watu werevu je? ndiozama hizo zimefika!?.......ningeomba jibu kutoka kwa Nape au Mwigulu je? hizi ndizo zama hizo
  2. S

    Lowassa akiwa Rais...

    SALAAM KWA MH. EDWARD LOWASA NA WENZAKE KUHUSU KUSEMA UKWELI (TRUTH) NA SUALA ZIMA LA UADILIFU NA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI TANZANIA Nimemsoma Askofu Mokiwa kuhusu uadilifu na uwajibikaji wa viongozi wa serikali. Nianze kwa nukuu ya Sir Francis Bacon; samahani kwa kuileta kwenu kwa...
  3. S

    Wachina wapekua nyeti za mama zetu Mwanza eti Ukaguzi..WITO: Tuchome VIWANDA VYAO

    VUA NGUO GONOA nisauti za wanawake wafanyakazi ktk kiwanda cha kukausha MABONDO ILEMELA JIJINI MWANZA wakilalamikia UDHALILISHAJI!!.....wanavuliwa nguo ili kukaguliwa wasiibe MABONDO ya mwekezaji wa kichina!?.......wanasema hata kama umevaa PEDI unaambiwa utoe na mlinzi ambae nimkaguzi wa...
  4. S

    PICHA: Yaliyojiri mkutano wa Mh. Msigwa... Nassari, Bananga wawasha moto

    INATIA MOYO SANA NA KUFARIJI ..........OLE WAO MBWEHA walio jivika ngozi ya kondoo......2015....MBWA WALIOPO JUU YA MTI WATASHUSWA!!............
  5. S

    MDAHALO: M4C, Hatima ni Mageuzi au Mapinduzi?

    Haijalishi nikichaa vichaa makahaba washirikina ndio wanao tuongoza kuendelea nasafari ya kuulinda na kuurejesha UTU wa mtanzania iwe ni KWA MAGEUZI YA KISIASA AU MAPINDUZI lakini muhimu kwa watanzania wengi hasa wanao ikubali na kushirikiana CHADEMA nikuing'oa CCM kwanza na kuandika katiba upya...
  6. S

    Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza Lusinde mahakamani

    unachelewa my bro weka namba ya M.pesa tuanze kuchangia garama za kesi hio!..........Nobody can give you freedom.no body can give you equality or justice or any thing.If you are a man you take it.
  7. S

    Chonde chonde tusifike huku watanzania wenzangu!

    inahuzunisha sana lakini mbona............ dhuluma mauaji ftna na kila aina ya udhalilishaji VIPO NDANI YA CCM .........hebu watwambie kilicho muua DAUDI balali KILICHOMUUA ...sokoine.............kigoma malima na kinacho muangamiza........ MWAKYEMBE NA MWANDOSYA....ccm ndio serekali ccm ndio...
  8. S

    Askari wa usalama barabarani alieupoteza msafara wa Rais Kikwete ajiua akihojiwa polisi Tarime

    Habari hii kweli niya mda mrefu sasa lakini katika kumbukumbu za utendaji na uwajibikaji wa jeshi la police kwa matukio 2010 lipo na litakuwepo hadi mwisho wa jeshi letu lapolice nimuhimu watanzania wafahamu ilikuaje ASKARI HUYO WAKIKE ALIE KUA AKIONGOZA MISAFARA YA MAGARI HASA YA MGOMBEA WA...
  9. S

    Askari wa usalama barabarani alieupoteza msafara wa Rais Kikwete ajiua akihojiwa polisi Tarime

    TUKIO HILI limejaa utata naomba mwenye taarifa kama tume iliunda atwambie nini kilichotokea hadi askari huyo akajiua akiwachini ya ulinzi tena silaha aliichukua galani!!
  10. S

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    NAKUMBUKA ILIKUA HIVI......................Uozo wa Phd Tanzania Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla: (1) Salmin Amour – Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four...
  11. S

    Askari wa usalama barabarani alieupoteza msafara wa Rais Kikwete ajiua akihojiwa polisi Tarime

    2010 wakati wa uchaguzi mkuu kuna askari wa usalama barabarani alituhumiwa kuupoteza msafara wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM J.M.KIKWETE.Baada ya kukamatwa askari huyu na akiwa chini ya ulinzi akihojiwa inadaiwa aliingia ndani ya gala la kutunzia silaha la kituo kikuu cha polisi TARIME...
  12. S

    Balozi Ombeni Sefue amrithi Luhanjo

    LUHANJO hivi hajahukumiwa kunyongwa........HUYU ni mwizi kama wezi wengine........!!??
  13. S

    Tukisema kweli impendezayo Mungu tunashitakiwa wachochezi!!

    OLE WAO ......WATAWALA WA .....TANZANIA!!...........WALIOJIGEUZA MBWA MWITU!! .......WATANZANIA WALIOCHOSWA NA DHULUMA NA WIZI WENU UHUJUMU UCHUMI WENU USALITI WENU.......wameapa na kusema ......SIKU ZAO ZINAHESABIKA!! ...wezi ....WANAITWA .. waheshimiwa!!..rudisheni pesa mlizo iba...
  14. S

    Ukomo wa serikali ya tz kukopa ili isifilisike unakaribia mwisho.....imefahamika..

    CCM....(A.K.A)..... NA WATAWALA WAKE ............sawa na GENGE LA MBWEHA .........wanao chunga kondoo ........MBWEHA hawa wasikiapo njaa hawana huruma na KONDOO wanao wachunga 89% ya watanzania nimasikini!!...........Usually when people are sad they don't do anything they just CRY over their...
  15. S

    WATANZANIA...UTAWALA BILA MAADILI nisawa na ugonjwa wa kifafa mdawowo mgonjwa yupo hatarini

    JAPO nigarama sana .....yaweza hata kugarimu damu ya watanzania LAKINI ili KUTHUBUTU TUWEZE NA TUSONGE MBELE .....nilazima TUPATE katiba mpya .....itakayo tokana na wananchi wa TANZANIA kwasasa ......TAIFA LA TANZANIA nikama mgonjwa wa kifafa AMBAE MDA WOWOTE AWEZA KUANGUKA NA KUPOTEZA...
  16. S

    Maalim Seif: Zanzibar iwe na Benki Kuu yake

    jiulize maswali haya kisha utajua HAKUNA MUUNGANO nichanga la macho!!.........ALIE ONGOZA mapinduzi ya ZANZIBAR ni ...................field marshal............JOHN TITO OKELO.............je?... ALISAINI HATI YA MUUNGANO wa tanganyika na zanzibar ....JOHN TITO OKELO....... kwanini hakuongoza...
  17. S

    Huyu ndiye Prof. Abdulrahman Mohamed Babu!

    Upinzani wa Babu dhidi ya Nyerere ulikuwa ni wa kisomo!!..................................pichani MALCOLM X alipokuja Tanzania akiwa na Abdul-Rahman BABU........................................... Abdulrahman Mohamed Babu was born in 1924 in Zanzibar, East Africa - then a British protectorate...
  18. S

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    je? TANGANYIKA ilikua nchi huru ...9/12/1961 .mkataba wa uhuru katiya serekali ya wakoloni uingereza na wapigania uhuru wa tanganyika uliandikwaje?? je mkataba huu wa uhuru upo wapi ?? .je?....ilikua na utawala wake....Alie ongoza mapinduzi ya ZANZIBAR ni ....FIELD MARSHAL .......JOHN..OKELO...
  19. S

    Zitto amtaka Waziri Mkullo apishe uchunguzi - Taarifa kwa vyombo vya habari

    WOTE wanatuhuma za UPORAJI MALI ZA umma mafisadi PAPA ninani atamwajibisha mwenzake SHERIA YA kunyonga mafisadi kama china NDIO inayo weza kupunguza na kumaliza umasikini TANZANIA!! (BENJAMIN mkapa ENDREW chenge GREY mgonja RAJAB maranda FARIJALA maranda BAZIL mramba NAZIL karamagi IBRAHIM...
  20. S

    CCM yaongezwa kundi la Maradhi, Ujinga na Umaskini Ukerewe!

    ccm KINGE KUA CHAKULA NINGEACHA KULA NIFE ! ccm UNGEKUA UGONJWA NISINGE KUBALI KUTIBIWA NIFE! CCM UNGEKUA MAVAZI NINGE TEMBEA UCHI KULIKO KUKU VAA ccm UNGE KUA UTAJIRI NINGEKUKANA NIWE MASIKINI! ccm UNGEKUA UHURU NINGEKUKANA NIRUDI UTUMWANI ! naamini matatizo ya watanzania na nchi yao...
Back
Top Bottom