Search results

  1. K

    Membe haongei na vyombo vya habari

    YAH:KUKANUSHA UZUSHI WA MITANDAONI DHIDI YA BERNARD MEMBE(BM). Ndugu watanzania wa ndani na nje ya nchi,tunapenda kukanusha kwa nguvu zote uzushi unaonea kwenye mitandao mbalimbali kuwa kiongozi mwandamizi wa Ccm ndugu Bernard Membe ataongea na vyombo vya habari siku ya leo saa kumi jioni...
  2. K

    Mahanga Kumfuata Lowassa

    Mahanga kumfuata Lowassa. Mbunge wa jimbo la Segerea Dk.Mahanga kukatwa na Cc hata kama akishinda kura za maoni kutokana na utovu wa nidhamu alioonesha Dodoma wakati wa kura za maoni za kumpata mrithi wa Rais Jk. Dk.Mahanga anayesifika kwa rushwa,uzinzi na ulevi hali yake kisiasa ni mbaya...
  3. K

    Haya Ndio Matokeo ya serikali dhaifu

    Habari wana jamvi, hapo mwanzo ilikua ni kitu kipya kuona serikali ikishindwa kuyatolea ufafanuzi masuala fulani yaliyojitokeza hapa nchini hadi kuitwa dhaifu. Leo hii hadi taasisi zake zimefuata huo utaratibu au mfumo usio rasmi. Inashangaza sana kwa taasisi tena za elimu ya juu TCU/NACTE...
  4. K

    Kesho ni zamu ya ST JOSEPH kugoma!

    baada ya makumira kugoma cku ya leo,hapa napata habari ya kua kesho ni zamu ya maINJINIA kugoma!habari ndo hiyo.....
  5. K

    Viongozi wa CCM waanza Kugeukana juu ya malipo ya Dowans

    Mh mkuu wa wilaya ya masasi Nape Mnauye adai haamini kama CC aijuayo ndio iliyotangaza malipo ya DOWANS hayaepukiki!habari kwny gazeti la mwananchi
Back
Top Bottom