Search results

  1. Ruheza NS

    msaada juu ya: software engineering

    Habarini wakuu.. Kwa mwenye uelewa juu ya hiyo kitu naomba msaada tafadhari.. - ina-cover nini(coverage yake chuon au curriculum yake) - soko lake la ajira tz likoje -vip kuhusu uhusiano wa technology yetu na coz hii(does it have conducive environment in tz?) Please say something..!! Shukran
  2. Ruheza NS

    Kuna tofauti gani kati ya mining engineering na mineral engenieering?

    Je kuna utofauti wowote kati ya mining engineering na mineral engenieering ? Kama upo hebu dadavua kwa kina. Na ipi inahitajika zaidi migodini?
  3. Ruheza NS

    Msaada tafadhari...

    Habari zenu wakuu....kwa anaeweza kunisaidia ili kujua ni wapi naweza kupata waya wa material ya "zinc". Nimejaribu kuulizia kwenye maduka ya vifaa vya umeme lakini sijafanikiwa na wauzaji wengine hata hawajawahi kuusikia...kwa yeyote anaefahamu tafadhari....
  4. Ruheza NS

    Bei ya kinanda (keyboard)

    Kwa anaefahamu tafadhar......nahitaji kujua bei kinanda cha chini (low quality) kwa ajili ya kujifunzia.....
  5. Ruheza NS

    Msaada tafadhari....

    Hivi inawezekana Kuzuia mtu asiitembelee blog yangu Bure??.... Namaanisha, watu waitembelee kwa malipo?
  6. Ruheza NS

    Msaada: Kupunguza mwanga wa PC

    Wadau nahitaji msaada jinsi ya ku-adjust mwanga wa pc (dell latitude 620 natumia window 7)....nimejaribu Fn + arrow keys na pia settings za rangi lkn hakun mabdliko
  7. Ruheza NS

    Msaada wa misamiati hii

    Kwa anaefahamu maana za maneno ya kiswahili anijuze.....kuabiri, marago, kupura, kutakabari.... Shukrani sana
Back
Top Bottom